Hivi njia gani inatumika kuomba kusomea ualimu kwa gredi ya diploma?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi njia gani inatumika kuomba kusomea ualimu kwa gredi ya diploma??

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by talentbrain, Jun 28, 2012.

 1. talentbrain

  talentbrain JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 903
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Naomba mnisaidie nijue jinsi ya kuomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma.
   
 2. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Unatakiwa uandike barua ya maombi wizara ya elimu na mafunzo nao watakupanga kwenye vyuo vyao vya serikali ,private omba chuoni moja kwa moja.
  Ila nafiri serikalini walishaomba zaman hope d line imeshapita kama sijakosea.
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  omba tu. Watu huingia
   
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
 5. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  asipoteze muda wake. Muda wa maombi ulishapita kwa wenye nia ya kusomea ualimu ulishapita. Ualimu si kwa wale waliokosa mahali pa kwenda
   
Loading...