Hivi nitoe udhuru gani?

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
413
90
Habari zenu. Nimepata barua toka kwa bosi wangu kuwa kuna mpango maalumu wa kwenda kozi fupi huko nchi fulani(hajataja amesema anafanya utaratibu kisha atasema) lakini amesema hali ya amani huko si nzuri. Naomba msaada wenu kwani naogopa. Nitoe udhuru gani?
 
wengine wanajifanya kufiws....wengine wasema ndg zaoo ni wagonjwa yaani fksi kibao ambazo hzija vizuri..kikubwa wewe ongea na boss huyo mwbie ukweli wenye uhalisia kwann wewe hutaki safiri huko
 
Acha uoga nenda urudi uijenge nchi yako. Inakuwaje bosi anataka kozi nchi za machafuko?Mbona za amani zingine zipo nyingi tu?
 
1.Mwambie kichwa kinakuuma 2. Unafuatilia bunge la bajet au 3. Unasubiri kombe la dunia akikataa omba kuondoa shilingi ili tujadili humu mkuu.
 
nenda wewe urudi upewe kitengo na pia kapate exposure na new challenges,.'UOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO.'
 
Mi kanidokeza unapelekwa damfur kusoma computer nenda tuu utakua unashnda ndani
 
Hahaha, kamsemelezee kwa mama yako. Kama wewe yatima niambie nikaimu nafasi ila baba yako halali yangu
 
Wewe ndio mwamuzi wa mwisho ila ningekushauri uende huko sababu siku zote sehemu zisizokuwa na amani ndio zinalipa wewe fuata masilahi yako kifo popote kinakuchukua hata uwe kwenye nchi yenye amani kama siku yako ikifika utaondoka
 
Tatizo vijana wa kileo wala chipsi kutishiwa tu nchi haina amani unaogopa kwenda,acha woga we mtoto wa kiume
 
wengine wanajifanya kufiws....wengine wasema ndg zaoo ni wagonjwa yaani fksi kibao ambazo hzija vizuri..kikubwa wewe ongea na boss huyo mwbie ukweli wenye uhalisia kwann wewe hutaki safiri huko

Umeoa?bosi wako ni wa kiume?anamjua mkeo?watchout...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom