Elections 2010 Hivi nitapiga kura?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Wandugu naomba mnielimishe hapa....mimi nimejiandikishia Yaeda na nilikuwa nipigie kura kule....kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika kwa sasa naandikia hii thread huku Tandahimba, sasa nasikia naweza kumpigia kura rais wangu Slaa lakini mbunge na diwani ndio hivyo tena....je kuna ukweli katika hili? na kama upo mbona watanzania hatuelimishwi tukaelewa?...nisaidieni nina machungu mwenzenu
 
Pole Yaeda mbali......................

Kuna thread imeonyesha Kiravu amesema haiwezeki hata kumpiga Rais isipokuwa kwenye kituo chako. Nawasikitia pia waTZ waliopo nje ya nchi.
 
Pole Yaeda mbali......................

Kuna thread imeonyesha Kiravu amesema haiwezeki hata kumpiga Rais isipokuwa kwenye kituo chako. Nawasikitia pia waTZ waliopo nje ya nchi.

:doh:...ohh no
 
preta namna gani tena? Fanya utaratibu kapige kura....ni muhimu sana kwa ajili ya kuwaondoa sisi sisi em!
 
Hata mie kesho nasafiri kwenda kituoni kwangu,nilishaulizia jina kama lipo nikaambiwa lipo.Kama huna nauli tukuchangie ukapige kura
 
Back
Top Bottom