Hivi nisadiki kua watanzania tunaishi kwa matukio?? Mijadala ya katiba mpya, dowansi, i wap?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi nisadiki kua watanzania tunaishi kwa matukio?? Mijadala ya katiba mpya, dowansi, i wap??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tasia I, Mar 18, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Katiba mpya, dowansi, tatizo la umeme, kushuka kiwango cha elim zilikua ni changamoto hasi zilizotawala majadiliano hapa katiaka hili jukwaa.lakin i baada ya(babu loliondo) yamepotea. lakini babu wa loliondo ni changamoto chanya, kwa nini tusiendetu kupata kikombe halaf tukamwacha aendelee na sie tukaendelea na haya tulokua nay?

  nasema hivi kwa sababu suala kama la dowansi na katiba mpya ni masuala yanayohitaji pressure kubwa na ya mfululizo katika kuyatafutia ufumbuzi.tunapo yanyamazia kidogo kuja kuendelea inakua kama tunaanza mwanzo.
   
Loading...