Hivi nini maana ya neno "shemela"?

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,159
11,471
Mara nyingi nimekutana na hili neno "shemela" kwenye mitandao ya kijamii likitumika lakini kila nikitafuta maana yake siipati.

Ebu nijuze wana jamvi
 
Shemela ni shemeji.
Ila ukiitwa hili jina ujue unachorwa tu, na in wazi kabisa mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayefahamika na huyo aliyekuita.
Sikuwahi kujua hili kabisa😂😂😂
 
Mara nyingi nimekutana na hili neno "shemela" kwenye mitandao ya kijamii likitumika lakini kila nikitafuta maana yake siipati.

Ebu nijuze wana jamvi
Hakuna maana yeyote, ni uzushi tu wa WaTz kuzusha maneno yasiyo na maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom