Hivi nini maana ya neno "shemela"?

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,008
10,966
Mara nyingi nimekutana na hili neno "shemela" kwenye mitandao ya kijamii likitumika lakini kila nikitafuta maana yake siipati.

Ebu nijuze wana jamvi
 
Shemela ni shemeji.
Ila ukiitwa hili jina ujue unachorwa tu, na in wazi kabisa mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayefahamika na huyo aliyekuita.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom