Hivi nini maana ya Afrika panorama

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Huwa sielewi maana ya hili neno Afrika Panorama linajumuisha nchi zote za afrika au ni mjumuiko wa kiitikadi/kisisasa au kiutendaji wa nchi na nchi ,naonba kueleweshwa zaidi mwenye kujua
 
Ngoja waje wajuvi wa mambo, wakati huo ebu nenda google andika hiyo africa panorama, labda utapata hints mbili tatu zitakazokutoa tongo tongo.
 
Back
Top Bottom