Hivi nini kinachomfanya Vasco da Gama asiteue RC wa Dar hadi leo?

Najiuliza mara nyingi sana pasi kupata jawabu. Nalileta kwenu wanajamvi. Pengine lilishajadiliwa nami sikubahatika kuliona. Hivi toka Novemba mwaka jana hadi leo takribani miezi 8 kwa nini mzee wa anga Vasco da Gama II hadi leo hateui RC wa Dar? Pamoja na hayo, hivi hamwoni kama hiki cheo hakina kazi maana kama jiji kubwa Afrika Mashariki na Kati linaweza kukaa bila mkuu wa mkoa kwa muda mrefu huo, basi hakuna haja ya kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya?
Anasubiri Mama Batilda aliyeshindwa ubunge Arusha atoke kwenye kunyonyesha ndo ampe hicho cheo.
 
Back
Top Bottom