Hivi nini kinachomfanya Vasco da Gama asiteue RC wa Dar hadi leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi nini kinachomfanya Vasco da Gama asiteue RC wa Dar hadi leo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuyuku, Jul 18, 2011.

 1. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Najiuliza mara nyingi sana pasi kupata jawabu. Nalileta kwenu wanajamvi. Pengine lilishajadiliwa nami sikubahatika kuliona. Hivi toka Novemba mwaka jana hadi leo takribani miezi 8 kwa nini mzee wa anga Vasco da Gama II hadi leo hateui RC wa Dar? Pamoja na hayo, hivi hamwoni kama hiki cheo hakina kazi maana kama jiji kubwa Afrika Mashariki na Kati linaweza kukaa bila mkuu wa mkoa kwa muda mrefu huo, basi hakuna haja ya kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya?
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii ilishajadiliwa!! Si Dar peke yake kuna Kilimanjaro na Iringa!

  Nadhani anasubiri budget imalizike!! Kwa sasa Dar yupo Sadick Meck Sadik aki act!!
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Tetesi nilizonazo nikua nasikia jamaa atawapiga chini baadhi ya wakuu wa mikoa na wakuu wa willaya hii nikutokana na anguko kubwa lililojitokeza kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi uliopita, si unajua huyu jamaa ni mtu wa visasi! Tusubiri nasikia tutaona sura nyingine kabisa.
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  huyu meck sadick mwenyewe ni mkuu wa mkoa wa lindi, hvyo basi kwa kukaimu kwake ameiacha lindi bila mkuu wa mkoa.
   
 5. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania bila ma RC na ma DC Inawezekana!
   
 6. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Vasco da Gama II yuko kwenye exploration za kupata wawekezaji ili hata akimaliza muda wake aache legacy ya kwamba, ni kiongozi wa nchi aliyeuza ardhi kubwa zaidi ya nchi kwa wageni, amesaini mikataba mingi ya ki- Karl Peters kuliko mtu yeyote, ameacha mashimo mengi na makubwa bila dhahabu kuliko mtu yeyote na pia ameweka historia ya ku-create friends wengi wa nje ya Tanzania ikiwa ni pamoja na kuwafurahisha wawekezaji kwa manufaa binafsi kuliko rais yeyote aliyepita.
   
 7. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Aiseee! sasa huyu Sadick anakula mishahara miwili? Ya Lindi na ya kuact? Akiwa Dom bungeni anakwenda kama nani? Na anatumia rasilimali zipi kwenye kazi zake? Za Dar ama za Lindi? Ninavyowafahamu viongozi wetu utakuwa Dom kuna magari mawili la RC wa Dar na la RC wa Lindi
   
 8. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa anapaswa awekwe kwenye Guiness Book of World Record kama rais anayeshinda zaidi angani na kwenye nchi za watu
   
 9. V

  Vonix JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Daaaaaa!neno Vasco da Gama the second zee la anga limempendeza sanaaaaa,ubarikiwe.
   
 10. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana Vonix
   
 11. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Kwanini unaishi kwa mambo ya kusadikika
   
 12. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Arafat, vyovyote ninavyoishi nimeomba kueleweshwa.
   
 13. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Nafikiri hiyo rekodi anakaribia kuivunja sasa na kwa east Afrika alishaivunja siku nyingi. Je katika safari 331 amepata wanunua ardhi wangapi? inabidi tupate list ya mazao ya kila safari anayoifanya nje ya nchi.
   
 14. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kinachonichekesha anasahau kuwa wawekezaji wanhitaji reliable power!!!

  Nchi iko gizani, na serkali inafanya ziara tu!!!
   
 15. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Ndio utajua kwamba post za ma-RC hazina maana kiivyo.
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Vasco da Gama ndiyo nani, huyu si alikuwa mpelelezi wa kireno kama sikosei? Au uelewa wangu mdogo? Naomba muongozo tafadhali
   
 17. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata umuhimu wa huyo rc siuoni zaidi ya mzigo kwa taifa tu
   
 18. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Ni Yule Jamaa anayeishi Magogoni
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mi naona hana umuhimu kama vdg mwenyewe ndo anaact badala yake kwa hiyo haina umuhimu..
   
 20. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Huyu tunayemzungumzia anaitwa Vasco da Gama II
   
Loading...