hivi nini kilitokea kwa Mrisho Ngassa kwenye mechi za majaribio? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi nini kilitokea kwa Mrisho Ngassa kwenye mechi za majaribio?

Discussion in 'Sports' started by mponjoly, Oct 5, 2009.

 1. mponjoly

  mponjoly Member

  #1
  Oct 5, 2009
  Joined: Oct 4, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niko mbali naTz, nje Tz kama miezi tisa hivi, nilipoondoka kulikuwa na fununu za mlisho ngassa kawin deal kwenda kucheza soka la kulipwa majuu ila story naona imefifia.nini kulikoni?
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Stamina hakuna mkuu. Kunywa chai na maboga wapi na wapi. Alichemsha, sasa anakipiga jangwani akichuana na kina Juma Kaseja.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Tatizo stamina au ni urefu or kimo?
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hayo mengine yalikuwa ni added advantage ya failure yake.
   
 5. O

  Omumura JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baada ya kufika kule wale jamaa wakampa mrisho ngassa zoezi la kukimbia na mpira huku umeunatisha kwenye kisigino akashindwa, basi wakamwambia rudi kwenu ukabutue kama mlivyozoea kufanya na kushinda mechi za kununua!jamaa alirudi, yupo tunabanana naye kwenye chips za mafuta ya transfoma hapa bongo!
   
Loading...