Hivi nini hatma ya kesi za Tundu Lissu Mahakama ya Kisutu?

..amekimbia vipi wakati passport mpya amepewa jana na serikali ya Tz?

..Lissu amepita mchana kweupe uwanja wa ndege wa kimataifa, kila mtu akimuona, halafu unasema amekimbia?
Hivi anayekimbia huwa haonekani!! Ama na mimi kiswahili kimeanza kunipiga chenga!?
 
Africa ni PK tu hapo Kigali hao mabalozi wote wangekua washarudi kwao
Wakirudi kwao Nchi inakuwa kama Zimbabwe. Kuna nchi za kuchezea sharubu sio Marekani, kauli Gadaf na Mugabe kuzimu au Al- Bashiru Sudan. Marekan wakikuchukia wanakuchuku kama mwewe achukuavyo kifaranga popote ulipo duniani na FBI yao. Wao hawanaga mipaka ya ufalume wao. Wana msemo " the sunshine shall shine all over the world but will never shine on America Empire" cheza nao uone.
 
..ukianza kuchukuliwa baadhi ya raia/wanasiasa kama "threat" then unaishia kuumiza watu bila sababu.

..mimi nadhani wanasiasa wachukuliane kama watu wenye mitizamo tofauti ili siasa zetu ziwe na ubinadamu.

Upinzani unahitajika sana. Ndio maana baada ya referendum 1992, pamoja na uchache wa kura za waliotaka vyama vingi, Mwalimu Nyerere alisimama akaunga mkono wachache ili waruhusiwe kufanya siasa.
Ingekuwa vema sasa tujiulize ni upinzani wa aina gani tunaopaswa kuujenga?
 
Utaelewa mbele kwa mbele haina kituo...dereva chochea moto !!!
Sijaelewa! Hasa Spelling zako!
===
Wadhamini watekeleze masharti ya dhamana waliyotoa. Na kama kweli atashindwa kuwahurumia wadhamani wake kwa kutoonekana Dec 3 mahakamani...ni vipi angeweza kutudhamini sisi watanzania tunaokaribia kufika milioni sitini!? Nilimstukia, alitaka " kutuuza " kwa mafungu.
 
Kwani MOI-Muhimbili hawawezi kumtibu?

Hivi nchi hii ina serikali na vyombo vya dola?

Kwanini serikali imewaruhusu mabalozi kumuondosha nchini mtuhumiwa anayetakiwa mahakamani?

Inakuwaje tunakubali kuchezewa na mabalozi wa nchi za mabeberu?
Ndo ujue kuna shida kubwa sana tena sana. Mabalozi watatu ambao sio ndugu hawawezi kuunga tu kumsaidia mtu mmoja. Kwasababu hao mabalozi wanabanwa na sheria za inchi na za kimataifa. Kuhakikisha lisu anaondoka salama ujue wana ushahidi mkubwa sana. Km unabisha subiri serikali ya tanzania ihoji kwanini balozi zimefanya hivyo. Ndio tutaona sasa ukweli wote. Na kwasababu serikali wanajua walichokifanya hutaona kamwe wakihoji kitendo hicho. Watakacho fanya lablda kuwakataa hao mabalozi inchini.
 
Upinzani unahitajika sana. Ndio maana baada ya referendum 1992, pamoja na uchache wa kura za waliotaka vyama vingi, Mwalimu Nyerere alisimama akaunga mkono wachache ili waruhusiwe kufanya siasa.
Ingekuwa vema sasa tujiulize ni upinzani wa aina gani tunaopaswa kuujenga?

..asante sana. haya mawazo yako yanafikirisha sana.

..binafsi nadhani tuwe na vyama vya siasa, period.

..tukianza kuita hawa "wapinzani," na hawa "watawala," tunaingia kwenye matatizo.

..tujiulize tunataka tuwe na mfumo wa vyama vingi wa aina gani, na siyo "upinzani" uwe vipi.

..wakati mwingine nadhani safari yetu kuingia ktk mfumo wa vyama vingi tuliianza na "mguu mbaya."
 
Kwani MOI-Muhimbili hawawezi kumtibu?

Hivi nchi hii ina serikali na vyombo vya dola?

Kwanini serikali imewaruhusu mabalozi kumuondosha nchini mtuhumiwa anayetakiwa mahakamani?

Inakuwaje tunakubali kuchezewa na mabalozi wa nchi za mabeberu?
ukiishaanza kuchokwa na Jumuiya ya kimataifa ndio inakuwaga hivyo
 
Tundu Lissu kama tunavyojua na kuona leo ameondoka Tanzania na kuelekea uhamishoni.

Lakini siku za Karibu Hakimu wa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu alimtaka Mh. Tundu Lissu kutokea mahakamani December 3.

Sasa kwa wanaojua mtusaidie nini hatima ya zile kesi? Na nini hatima ya wadhamini waliomdhamini mahakamani?
Kwa kuwa mwenye nguvu mpishe nazo zimepisha.
 
..asante sana. haya mawazo yako yanafikirisha sana.

..binafsi nadhani tuwe na vyama vya siasa, period.

..tukianza kuita hawa "wapinzani," na hawa "watawala," tunaingia kwenye matatizo.

..tujiulize tunataka tuwe na mfumo wa vyama vingi wa aina gani, na siyo "upinzani" uwe vipi.

..wakati mwingine nadhani safari yetu kuingia ktk mfumo wa vyama vingi tuliianza na "mguu mbaya."

Mguu mbaya

Yes tulianza na mguu mbaya. Kuna Viini macho vingi sana. Ndio maana inakuwa ngumu kukubali law urahisi kwamba ndio mifumo uliopo.
Kama hatutaweza kujenga vyama bora, mbadala, itakuwa kwa hasara yetu. Na hili ni jukumu la hata think tank wetu kujua ipo Haja ya kujenga vyama bora, vyenye kuelewa ukubwa wa dhamana ya kuwa vyama vya siasa
 
Kisomo alichopewa balozi na TL alikubali kupoteza kazi yake lakini sio kumwachia Lisu mikoni mwa maharamia.
 
Mguu mbaya

Yes tulianza na mguu mbaya. Kuna Viini macho vingi sana. Ndio maana inakuwa ngumu kukubali law urahisi kwamba ndio mifumo uliopo.
Kama hatutaweza kujenga vyama bora, mbadala, itakuwa kwa hasara yetu. Na hili ni jukumu la hata think tank wetu kujua ipo Haja ya kujenga vyama bora, vyenye kuelewa ukubwa wa dhamana ya kuwa vyama vya siasa

..Duh!!

..huko unakotaka kwenda na mjadala huu nadhani unaweza kusababisha niugue migraine / panda kichwa.🤣

..tunao mfumo wa vyama vingi, lakini baadhi ya key players, custodians wa mfumo huo, hawaamini kabisa ktk demokrasia ya vyama vingi.
 
Kuna "beberu" linaloshindwa kupanda jike likitaka? Eti serikali ina "vyombo!' Labda vya kuogea. Wangemgusa awanukie fisiem wakubwa!
Alafu alisindikizwa na gari 3 za Beberu na Mbuzi jike nyeupe sijuwi zinaitwa aje zikiwa zimepandwa na mzuka kondoo wakakaa pembeni kama wamenyeshewa na mvua duh kweli beberu ni beberu tu
 
Asipotokea 'KESI ITASIKILIZWA UPANDE MMOJA'. Akipatikana na hatia kuna haki fulani sisi wanasheria 'wa mtaani' tunajua atazikosa, ukitaka nitakutajia haki gani! Ila ile ishu ya kutetea ushoga imechangia kummaliza! Hata hivyo tunamuombea afya njema anapoenda kukutana na daktari wake

wakuu badala tujadili the main agenda tunajadili ushoga ambao hata katiba haiukatazi na serikali ya magufuli inauunga mkono ? kwanini msianze na kumkemea magufuli akataze hao machoko ?
 
Tundu Lissu kama tunavyojua na kuona leo ameondoka Tanzania na kuelekea uhamishoni.

Lakini siku za Karibu Hakimu wa Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu alimtaka Mh. Tundu Lissu kutokea mahakamani December 3.

Sasa kwa wanaojua mtusaidie nini hatima ya zile kesi? Na nini hatima ya wadhamini waliomdhamini mahakamani?

Kesi zote ni fake za kupandikizwa hata judge wanawekaga yuleyule wa kuwatesa wapinzani
 
Ole 2ao wsliojitia kimbele mbele kumdhamini.
Wataiju mahakama ni nini?
Hoja yabugo jwa haopo tena.
Kama Tundu Lissu alikuwa mzima wakati akifajya kampeni nchi nzima hawezo kuwa mgonjwa wakati tu wankwenda mahakamani
Je angekuwa rais angetumia huo ugonjwa

Tundu Liaau kavunja shamana wazo waxi. Mahakama zikimfanyizia qsianxe kulia mahakama ccm.
Hata darasa la pili chee,kidumu na ufagio mheshimiwa sana Pdidy hawezi kuandika hivi aisee.
 
Ameondoka anaenda matibabu, kesi zake zitabaki pale pale! Tanzania tunahitaji Amani kabisaaa! Amekimbia anatuchonganisha na Mataifa ya nje ili tukianza kuvurugwa yeye na familia yake wako salama, Ujinga huu tusiukubali watanzania!

Usituchanganye watanzania wote na wezi wa kura na wamwaga damu.
 
Back
Top Bottom