Hivi nini hatma ya kesi za Tundu Lissu Mahakama ya Kisutu?

Kwani kaiba nini Tz?
Ebu fanya Kama hujawahi msikia TAL , utakosa Nini wewe mtanzania?
Roho mbaya tu inasumbua wengi
 
Lissu hawezi kuumizwa kichwa na kesi uchwara zilizofunguliwa kwa ajili ya kumufurahisha rais wa ajabu.
 
..wasipoondolewa maana yake serikali imesalimu amri na kufyata mkia.
Mlisema hivyo hivyo kwa Sara Kuku na yule wa Marekani, chubiri ubatizo wa moto. Serikali hii ipo makini na imejipanga, huyo wa USA nilitoa miezi mitatu lakini naona tayari anafahamu hitima yake, akikaa sanasana March anafungasha. Wa Ujerumai tayari kaitwa, Sisi sio kataifa kadogo ngoja tukae uzuri baada ya huu uchaguzi tuwafurumushe vizuka wanaojitokeza kule ntwara.
 
Pale ni Win Win situation tumekubaliana aondoke atuachie tujenge nchi tuache pending case zake za uchochezi. Kwa kuwa kaondoka tumetulia hatuhitaji kesi labda aanze tena tutazikumbushia maana JINAI haiozi.
 
Back
Top Bottom