Hivi nina matatizo ya akili au vipi?

Jibu
Haujaweka wazi historia ya maisha yako ila huwenda wakati wa ukuaji wako watu wako wakaribu walikua wakiku kosoa sana na wakiku fananinisha vitendo vyako na watoto wengine au kukubull mara kwa mara. Huenda hili lilileta tatizo la namna hii
vipi kuhusu upataji wako wa usingizi? kama unatatizo hilo basi unahitaji matibabu ya akili na muda wakupumzika.
 
Kwa kawaida, kama watu wakawaida wasipo kuelewa jua wewe ni tofauti nao.... kwa maana wewe ni genius.. introvert person.

Akili yako ni kubwa sana.. sema itulize ubongo ikwambie wewe ukoje.
 
nimesoma kwa shida sana kiasi cha kushindwa kumaliza kusoma post yote.
Ila pole sana mkuu
 
Haupo sawa,
Fanya kuanza na tiba ya chumvi ya mawe,
Zaid ntakuelekeza sehem ya kupat tiba asili.
Khiyo hali naifaham vzr,
Kifupi unajihis unakuw na mvutano mkali w kimaamuzi,
Kujuta sana hasa baada ya kusema au kutenda,
Mawazo mengi nyakat za uck,
Matumiz mabay ya pesa,
Hasir nying,
Mikosi nk.
Acha tu.
Ntarud
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom