Hivi nikwanini tunakuwa hivi???

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,594
Nijambo la kawaida siku hizi kuona mwanamme kuwana mahusiano nje ya ndoa yake vyihivyo kwa mwanamke kuna mahusiano ya nje na mwanmume ali kadharika kwa wapenzi mwanamke anakuwa na boyfriends zaidi ya mmoja na wavulana ana girlfriend zaidi ya mmoja mimi nashindwa kujua nini chanzo cha matatizo yote haya!Tamaa au ni umagharibi au nini??jamani?:A S-confused1:
 
Kuonja mkuu zina ladha tofauti hizo na kadri unavyoendelea kuzionja na ladha zinaongezeka
Yaani ile ladha haikamatiki
 
Tamaa tu hakuna lolote jipya huko bwana kama kuna jipya mbona tunarudi nyumbani na kuendelea na wake/waume zetu? Kama huko ni raha kaa huko huko basi aaaahhhh mie hizi tabia sizipendi mwenzenu
 
Kuonja mkuu zina ladha tofauti hizo na kadri unavyoendelea kuzionja na ladha zinaongezeka
Yaani ile ladha haikamatiki

:doh:Sasa mkuu utazunguka hadi wapi maana haikamatiki!!au ndo mpaka lyamba!!
 
eeeeeh!rose hujatulia kabsa!
Rose katulia sana tu ila anagawa dozi za maana humu. Unataka akae kimya?
Rose GO! just say. na mimi naona ni tamaa tu, japo sometimes wakati wa kutega mitego unaweza kunasa kubwa na ndogo pia halafu ukachagua au kushika vyote.
Lakini ifike wakati uchague moja. Si vema kuwa Mdanganyifu kwenye mahusiano. Ila kuwa na ziada nadhani ni njema pia japo usizidishe au kumsababishia matatizo mwenzio.
watu wote wanahitaji kupendwa eeeeh
 
:doh:Sasa mkuu utazunguka hadi wapi maana haikamatiki!!au ndo mpaka lyamba!!
mambo ya ndoa sometimes ni magumu sana, lakini ni kuamua tu. Ukishakuwa na mmoja basi wengine wawe dada au kaka zako.

Ila kwa wadada ni hatari kuwa na kaka asiye ndugu yako eti unaenda kumtembelea gheto, au km entertain saaaana lazima umegwe na baadaye utajuta. Kwa wanaume naweza kuwa na dada na nisifanye lolote, maana kwa sasa hawawezi kutubaka labda wewe mwenyewe uamue kufanya hivo.

Kwa wadada ni kwamba kuna wanaume ambao ukiwapa nafasi ya kuwa jirani naye mpo 2 tu basi lazima atakumega tu hata kwa lazima, maana ukipiga kelele aibu hata kwako pia ipo. lakini zaidi sana ni wataalam ile mbaya.

So ni uamuzi tu wa watu wenyewe. kuwa na mtu mwingine au la. lakini is not good! aibu kuvuavua nguo ovyo watu kibao wanakuona utupu wako! that is special fo one or very few people!!!!!!
 
nimekupa na thanks yangu hawa wanapunguzaga msongo wa mawazo yakhe ukikaa masaa yotee kumuwaza jumaaa kichwa chaweza kwenda resi
Rose katulia sana tu ila anagawa dozi za maana humu. Unataka akae kimya?
Rose GO! just say. na mimi naona ni tamaa tu, japo sometimes wakati wa kutega mitego unaweza kunasa kubwa na ndogo pia halafu ukachagua au kushika vyote.
Lakini ifike wakati uchague moja. Si vema kuwa Mdanganyifu kwenye mahusiano. Ila kuwa na ziada nadhani ni njema pia japo usizidishe au kumsababishia matatizo mwenzio.
watu wote wanahitaji kupendwa eeeeh
 
nimekupa na thanks yangu hawa wanapunguzaga msongo wa mawazo yakhe ukikaa masaa yotee kumuwaza jumaaa kichwa chaweza kwenda resi
hapo kweli nami nakupata sawasawa, mara nyingine ukitiwa mawazo sana unaweza kweli kupeleka kichwa resi halafu utatia aibu kabisa.

So, inapobidi punguza mawazo kidogo lakini usimkanyage mwenzio!
 
Nijambo la kawaida siku hizi kuona mwanamme kuwana mahusiano nje ya ndoa yake vyihivyo kwa mwanamke kuna mahusiano ya nje na mwanmume ali kadharika kwa wapenzi mwanamke anakuwa na boyfriends zaidi ya mmoja na wavulana ana girlfriend zaidi ya mmoja mimi nashindwa kujua nini chanzo cha matatizo yote haya!Tamaa au ni umagharibi au nini??jamani?:A S-confused1:
Wala hiyo tabia magharibi haipo, mi nadhani ni mporomoko wa maadili tu na ukosefu wa kazi. Kazi zingekuwa zinapatikana kwa urahisi viruka njia (boys and gals) wangepungua, lakini hiyo sasa imekuwa ni
sehemu ya kazi. Tatizo ni kwamba wakishazoea huwo mchezo hawaachi, unajua huwa wanakopeshana
kabisa .......... leo nimechacha mtoto akwambia we njoo tu kichaa wangu . ....... unaenda unamega ............... masiha mwendo mdundo ............ni mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom