Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,195
wote nilionao nimewadanganza kuwapata.
Mmmh sipendi mwanaume muongo na mwenye longolong nyingi. Mimi tena akishaanza na beti kama hizo ndio nampotezea kabisa.
lol
SL ulimtongozaje?
wanawake hawaitaji kutongozwa mkuu . wanahitaji wallet za namna hii tu.
unatuonyesha vijisent vya desi!onyesha sefa si kawaletwanawake hawaitaji kutongozwa mkuu . Wanahitaji wallet za namna hii tu.
wanawake hawaitaji kutongozwa mkuu . wanahitaji wallet za namna hii tu.
you are right,kuna midemu usipoidanganya humpati.