Hivi nikitaka kwenda Morogoro kupitia Bagamoyo naweza pata changamoto gani?

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,758
Nataka kupitia barabara ya Bagamoyo-Masata-Msoga bila shaka kama sijakosea ni salama na naweza kuwahi?
Hii Chalinze inasumbua sana na yale mawimbi yanaweza kukuua muda wowote.
 
Ndio mkuu ni salama, sema utakuwa unazunguka. Mpaka msata kuna kama km 120 then urudi nyuma kuitafuta chalinze. Utapoteza km kama 50 hivi.

Watu wa Tanga, Arusha etc ndio wanasave wakipitia msata.
 
Nzuri Barabara Kutoka Dar es salaam Mpaka Msata
Eneo Korofi Msolwa Hasa Ukitoka Chalinze Barabara Ya Lami Imechimbika Sana
 
Pita bagamoyo mkuu hutajutia sio mbali kivile ile big jii hata mimi huwa inanikela sana
 
Back
Top Bottom