Hivi nikimuacha huyu mwanamke nitakuwa nimekosea?

Watu mna roho ngumu kama za kutu da me siwezi kabisa.

Mwez ulio pita pisi moja tulikuwa tunapunguziana wazungu huko nyuma, sasa nikawa nimesafir nilipo rudi nikamwambia tuonane, akawa chenga, tuonane chenga kama mara 3.

Nikamwambia tuonane tena alinitumia sms, siwez kuonana na ww kwa sbb nina mtu wangu, nilimjibu Hongera na asante.

Baada ya 2 weeks ananitafuta anasema alikuwa ananitania, nikamjibu mm huwa sijalibiwi nimesha pata mwingine na mapenz imebakia story.
 
I remember the day I called mama on the telephone
I told her mama I'm getting married
I could hear her voice on the other side of the telephone she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said son did you take time to know her
I said mama she's the best
But today it hurts me so
To go back to mama and say mama I
'm getting divorced
Oh I'm getting divorced
This choice I made didn't work out the way I thought it would (x2) it hurts me so mama
mama said to me
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it (x3)
You'll be happy again
I remember in church
When the preacher read the scriptures
You looked so beautiful and innocent
I did not know that behind that beauty
Lies the true colors that will destroy me in the near future
This choice I made didn't work out the way I thought it would be (x2)
Now I'm hurting
I remember when I held you
By the hand preacher man read the scriptures
Putting words in you mouth
Maybe what the preacher man said was not something that was with you
Now I know what they mean when they say
Beautiful woman is another man's plaything
Oh Lord I'm hurting now
This choice I made didn't work out the way I thought it would
Mama said to me
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it (x3)
You'll be happy again
Ngoma gani hii mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante japo sikupenda sana nije kudharauliana nae...nilitamani nije tuishi kwa shida na raha ili baadae tuje tuwasimulie wajukuu zetu tulipo toka
Ok...jaribu kumpa muda labda hasira tu ndiyo anajikuta anakwambia hivyo,usikute hana hata mtu anatamani tu kulelewa.....we ukipata mihela mnunulie tu zawadi hata kama chupi ziwe nzuri mpe ,lotion anayopaka,mafuta,perfume utaona mabadiliko. Usiabase sana kwenye chakula na nyumba
 
asante nitafanyia kazi ushauri wako...ungekuwa wewe ungemrudia, ungekubari usuruhishwe…?
Kwa wewe utateseka sana kwa vile ulimpenda,hata ukiwa na mwingine hutokuwa na raha na mbaya umezaa nae utachepuka nae tu. Yeye hawezi kuolewa watu hawaoi single mother si unasika huku jf wanavyosema. Msamaha ila tafuta tu hela apate cha kujivunia na kukukumbuka akiona hiki na kile kutoka kwako,ni hicho tu ndo kinamsumbua sweet wako.
Sorry nilikuwa najaribu kumjibia🙈
 
Ukute siku zote hizo kuna mwanaume mwengine ndiye anayemsaidia na kulea mtoto .. Pengine hata huyo mtoto unayejisifia, ni wa huyo mume mwenzio!

Endelea kung'ang'ania tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wewe utateseka sana kwa vile ulimpenda,hata ukiwa na mwingine hutokuwa na raha na mbaya umezaa nae utachepuka nae tu. Yeye hawezi kuolewa watu hawaoi single mother si unasika huku jf wanavyosema. Msamaha ila tafuta tu hela apate cha kujivunia na kukukumbuka akiona hiki na kile kutoka kwako,ni hicho tu ndo kinamsumbua sweet wako.
Sorry nilikuwa najaribu kumjibia
Wewe ni ke ?
 
sasa unazani itakuwaje...maana amekuwa akinitumia meseji za kuachana mara kwa mara...hali hiyo mimi imenichosha sana...binadam mkishapendana kuna mambo mnatakiwa muwe mnawekana wazi...miaka mitano kwenye mahusiano sio midogo...na inatosha kila mmoja kuwa huru na mwenzake..
Umeona hapo mara nyingi lakini hamuachani!??! anakupenda sema hasira zinamfanya aseme hivyo.
 
Mnamo mwaka 2015....nilipata mchumba mzuri ambaye tulipendana sana. alinipa nitakacho na nilimpa atakacho pia. kipindi nampata huyu mwanamke nilikuwa kwenye hali ngumu sana ya uchumi. alinivumilia sana na nilijiona mwenye bahati sana kumpata mwanamke mvumilivu. baada ya mwaka mmoja. alinitumia meseji kuwa ameshindwa uvumilivu na anaona bora tuachane kwasababu nimeshindwa kumuhudumia.…. nilihudhuniika sana lakini tulisuluhisha yakaisha. (laitii kama ningewasikiliza wanajamiiforums walionishauri kipindi hiko yasingejirudia haya)

Mwaka 2017 nilibahatika kupata mtoto mmoja wakiume na huyu mwanamke. lakini bado Maisha yangu yalikuwa yakuunga unga, sikuwa na kazi ya maana, kwa kiasi kikubwa nilisjhindwa kabisa kumuhudumia mtoto wetu. ila kwa kuwa mwenzangu alikuwa amejishikiza kwenye shule moja hapa mjini vi jisenti vidogo vidogo vilikuwa avimpigi chenga. niliendelea kutafuta kazi bila mafanikio mwaka huo huo 2017 huyu mwanamke alinitumia tena meseji nyingine kuwa tuachane amechoshwa na mimi. roho ili niuma sana na nilihudhunika sana lakini uwezo wa kumuacha nilikosa kwani nilitamanani sana nipate kazi ili angalau nilipe fadhira zake za kunilelea mtoto wangu.
View attachment 1407640
mwishoni mwa mwaka 2019 nilibahatika kupata kazi ambayo ndio ninayoifanya hadi leo kiujumla hii kazi haina mshahala mkubwa. hivyo kuanzia mwezi wa 11 mwaka 2019 hadi mwezi huu 4 mwaka 2020 fedha yote niliyokuwa naipata ilikuwa haikidhi mahitaji, kuna kodi ya nyumba, umeme pamoja na kununua vitu vya ndani….ili ata nikiamua kuishi nae kuwe na vitu vinavyoeleweka.

Kwa ujumla wake namshukuru sana huyu mwanamke kwakuwa amenisaidia sana, amenizalia mtoto na kwa kipindi chote cha miaka 3 amekuwa akimlea mtoto wetu bila usaidizi wangu….nilitegemea sasa nimepata kazi japo si kubwa uwe ndio muda wa mimi na yeye kujipanga juu ya kujiwezesha kimaisha ila chaajabu jana amenitumia tena meseji nyingine kuwa "mimi na yeye mahusiano yetu yamefika mwisho niki penda niwe naenda tu kumuona mtoto"

Naombeni ushauri amenisaidia kweli na Zaidi ya mara 3 amekuwa akinitumia meseji za kuniacha….nimevumiliwa na nimevumilia sana...ungekuwa ni wewe upo kwenye nafasi yangu ungechukua uamuzi gani...naombeni ushauli tumia lugha yoyote ata matusi ukiweza…!
Wewe n king'ang'anizi mtu alishakuchoka na kukuacha toka zaman lakin wewe unajitia kuwa na upendo wa agape, toka kwenye kifungo hicho wewe n mwanaume tafuta hela, tafuta mwanamke mwingine, mtoto utalea hata akiwa hukohuko.

Ukijifanya kumpenda mwanamke utaumia tu, mwache aende

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom