Hivi NIDA wataajiri wafanyakazi wapya baada ya wale wa mwanzo kumaliza mkataba?

bobdizo

Senior Member
Jun 28, 2014
137
50
Jamani kwa anayejua hili au kusikia popote kuhusu NIDA kama wataajiri wafanyakazi wapya baada ya wale wa mwanzo kumaliza mkataba wao,niliona kwenye tv wakikabdhiwa zile mashine za vitambulisho vya kupigia kura na NEC.
 
Mchakato nadhani unaubiri bunge la bajeti lipite baada ya hapo nafikiri watakua wamepata pesa ya kuendeshea zoezi.Vuta subra
 
Wakipata pesa Nina imani hata wangewarejesha wote wale waliosimamishwa bado hawatatosha...ni kwa mtazamo wangu lakini
 
Mm nahic hawawez ajiri kwa sabab y kubana matumiz, ndio maana wamewasimamisha kaz wale jamaa
 
Back
Top Bottom