Hivi Nicolas Musonye ni mmiliki wa CECAFA?

Vyeo Vinginevyo Vipo Kwasababu Tu
Ila Humo Ndani Mauzauza
Unakumbuka Ndolanga Na FAT
 
Hivi Africa Mashariki hakuna mtu mwingine zaidi yake au CECAFA ni kampuni yake na ana hisa nyingi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira ni sehemu ya kupigia hela zaidi ya siasa. Viongozi wanaingia kwa ahadi nyingi wakiwa watakatifu harafu wanageuka kuwa ma mafia wanatengeneza kundi lenye kunufaika kuja kuwatoa balaa. Mkipanga kuwatoa wana wachomoa nyie. Hapo mpira
hauendi tena kulalamika kila siku ila kwenye uongozi hawatoki.
 
Write your reply...kuna haja ya kubadili uongozi au ife kabisa hiyo cecafa! kwanza hiyo michuano yake inakujaga kati kati ya ligi. yaani inaingilia ratiba za timu. eti sijui mechi moja unaingia nane bora!. ndo maana yanga walikataa kushiriki! sababu walishtukia kuwa anataka kupiga hela ndo maana akawapanga na simba kundi moja ili mechi iingize hela! nadhani nimeeleweka. musonye is after money
 
Musonye alianza kama msemaji wa CECAFA baadae akawa Katibu Mkuu wa kudumu ,aliifungia Yanga Kagame Cup
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom