Hivi ni wazanzibari wasioutaka muungano au wabara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni wazanzibari wasioutaka muungano au wabara?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crucifix, Jul 26, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Naona hoja nyingi zisizo ma mashiko, mara, "kwa nini wazanzibari hawataki muungano." au "mwanasheria mkuu ZNZ akataa muungano."

  Lakini nijuavyo mimi watanganyika hatuutaki kabisa muungano huu na hii sio hoja ya znz bali iliwahi kujitokeza bungeni kwetu na g55 enzi za Njelu Kasaka. Wazenji kaeni kimya, mnajifanya hamuutaki muungano wakati mmeukumbatia.

  Yatawatokeeni puani tukifanikisha kuyashinda majini yenu yanayolazimisha muungano!!!!
   
 2. k

  kicha JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  nahisi kama ulistahiki kua fb sio jf, hatwendi ivo mkuu, hoja, ushahidi na kutofuata upepo ndio nguzo yetu jf, unakurupuka tu sjui usha-le-wa au sijui, kajipange tena, nakuhisi unaweza kua na point ila uwasilishaji wako huna tofauti na mtoto wa chekechea.
   
 3. B

  Bob G JF Bronze Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hata sisi watanganyika hatuutaki muungano kabisa wanao utaka muungano ni ccm bara na ccm znz
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Ni vizuri basi tumwombe Mzee Mwanakijiji aandae makala za kutushajihisha watanganyika kuidai Tanganyika yetu. Kama anavyowaonesha njia nyepesi na rahizi wazanzibari kutoka katika muungano.

  Atueleze njia rahisi za kuipata Tanganyika yetu.

  Ninajiuliza masuali mengi kwa nini Mzee wa kijiji anaelekeza nguvu nyingi kuwaelimisha wazanzibari na kutuacha sisi tukiwa hatuna mtetezi wakati sisi pia tunaona muungano unatutia hasara tu, tunabeba kiroba cha misumari.

  Mzee Mwanakijiji, tusaidie mawazo, njia vipi tutairejesha Tanganyika yetu na serikali ya Tanganyika?
   
Loading...