Hivi ni vipimo gani wanatumia ku rate uchumi wa nchi?

Nafikiri wanakagua utajiri wa viongozi waliopo na Wastaafu. Yasemekana kuna
wengine wanamiliki maghorofa katika nchi mbalimbali za ulaya. Matumizi ya
viongozi nayo yanaangaliwa ukilinganisha na vioongozi wa nchi zingine
Hata hivyo Takwimu zimekosewa ilibidi tuwe kwenye 3 bora kama utaratibu
wa hapo juu utafuatwa ipasavyo!
 
Hivyo ni vya kwako. Ranking iliyoonyeshwa hapo inahusu ukubwa wa Gross Domestic Product (GDP) ya kila nchi (yaani jumla ya thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa kwa mwaka). GDP haipimi usawa (equity) katika kugawanya utajiri wa nchi. Ndiyo sababu ya Tanzania kuwa namba 13. Lakini ukiangalia mgawanyo halisi (kipato cha pesa cha kila mwananchi na ubora wa huduma) tutakuwa mkiani kabisa.
 
Back
Top Bottom