Hivi ni vigumu kwa raia wa kigeni kusajili kampuni nchini

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
Nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja ni raia wa u.k lakini anaishi south africa ambaye alikuja hapa nchini kwa ajili ya kusajili kampuni.
Anadai tanzania mambo hayako wazi na ni vigumu kujua cost halisi za kufanya kitu. Anadai investors kibao wamekuwa discouraged kutokana na mwenendo mzima wa mambo yanavyofanyika. Mfano anadai kazungushwa katika kusajili kampuni na si yeye peke yake wapo watu wengi tu wnalalamika.
Anasema nchi kama zambia na malawi mambo yako wazi na haichukui zaidi ya miezi miwili mambo kuwa tayari na huzungushwi kwakuwa mambo yote yanafanyika ndani ya office chache tu.
Yeye alitaka jenga kiwanda cha kutengeneza juice, pia alitaka jenga hotel na casino lakini anadai amekata tamaa na ameamu ni bora aka invest zambia.
Jambo ninalo jiuliza tatizo liko wapi hapa kwetu.
 
Tatizo ni rushwa jiulize kwanini kuna kampuni nyingi zinaanzishwa kuwasaidia watu kusajili biashara wakati taratibu zinaeleweka nenda rwanda kila kitu kipo wazi lakini huku wanakuzungusha ili utoe chochote kwa jamaa zao walioanzisha hivyo vikampuni vikichunguzwa ukweli ndio utajulikana
 
Nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja ni raia wa u.k lakini anaishi south africa ambaye alikuja hapa nchini kwa ajili ya kusajili kampuni.
Anadai tanzania mambo hayako wazi na ni vigumu kujua cost halisi za kufanya kitu. Anadai investors kibao wamekuwa discouraged kutokana na mwenendo mzima wa mambo yanavyofanyika. Mfano anadai kazungushwa katika kusajili kampuni na si yeye peke yake wapo watu wengi tu wnalalamika.
Anasema nchi kama zambia na malawi mambo yako wazi na haichukui zaidi ya miezi miwili mambo kuwa tayari na huzungushwi kwakuwa mambo yote yanafanyika ndani ya office chache tu.
Yeye alitaka jenga kiwanda cha kutengeneza juice, pia alitaka jenga hotel na casino lakini anadai amekata tamaa na ameamu ni bora aka invest zambia.
Jambo ninalo jiuliza tatizo liko wapi hapa kwetu.

Kuanzisha biashara kwa Investor kuna changamoto zake,ila kama bado anania thabiti tunaweza kumsaidia kupitia service inayoitwa Entrepreneurs Support Services,tunaweza kumwonganisha na experts wetu na wakamsaidia.

Inasikitisha sana tunapopoteza wawekezaji kisa urasimu usiyo na maana.
 
BUSIMINET COMPANY LIMITED
Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam

Tanzania
Mob: 07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58
E-mail: busiminet@gmail.com
Website: busiminet.blogspot.com
OUR SERVICES: Tax, Business, IT, Accounting &Bookkeeping and Other services
TAX
1.Assist in preparation and submission of Returns to TRA
2.
Assist in estimation and determination of tax liabilities.
3.Online Returns submission and Payment Registration with TRA.
4.
Assist in Tax Payment processing.
5.Reminding about due dates for Tax payment and Other Tax/Statutory compliance.
6.
Tax health-checks
7.
Processing transfer or change of ownership with TRA
8.
Assist in filing and submission of TRA forms.
9.
Assist in Applications for Requesting Tax exemption.
10.
Tax consultation and advisory.
BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, NGO's, Succoss and Company registration with BRELA.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile

4.Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals

IT AND RELATED SERVICES
GRAPHIC DESIGN
1.
Logo,Bill boards, Posters.
2.
Business cards, Identity cards (ID).
3.
Brochures Flyers, Invitation cards.
4.
Calendar,Product label Magazines
5.
Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
6.
Website, Blogs and Systemdesign and development
7.
Computer maintenance
8.
Computer software installation
9.
Network designing and installation
10.CCTV installation
11.
AC installation and maintenance

ACCOUNTING AND BOOK-KEEPING SERVICES
1.Stock counting
2.
Preparation of bank reconciliations
3.
Preparation of annual financial statements complying with International Financial Reporting Standards.

4.Posting of financial transactions from source documents , (IFRS).
5.
Preparation of budgets and management reports.
6.
Payroll services (preparation of the payroll including pay slips)
7.
How to keep books of account

OTHER SERVICES
1.
Mining
2.
Marketing and advertisement
3.
Education
4.
Agricultural activities
5.
Gas activities
6.
Cargo clearing
7.
Legal consultancy
8.
Staff recruitment & Out-Sourcing
9.
Project management and analysis
10. Training and workshops to Enterpreneurs, scholars and other groups that need to excel in their business

Business in the smooth environment ensures growth

okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

Back
Top Bottom