Hivi ni upi umri sahihi mtoto kuanza darasa la kwanza?

kaitamarogo

JF-Expert Member
May 23, 2016
461
493
Juzi nilisikia binti mmoja ana miaka kumi na minne nikashangaa nikajaribu kufanya hesabu ya miaka ikawa
miaka 3 ndo anaanza darasa la kwanza baada ya miaka 7 akamaliza la saba anamiaka 10, mpaka miaka kumi na 14 yupo form 4 je hakuna miongozo ya muda wa kuanza la kwanza?
 
Huwa binafsi naamini wanaangalia uelewa wa mtoto. Ila kwa upande wa Shule za Serikali ni miaka 6 na kuendelea maana ndiyo wana compillications hizo.
 
Kwa St kayumba darasa la kwanza ni miaka 6 ndio wanampokea na hapo awe anaweza kujihudumia na kuongea vizuri.

Kwa shule zetu zile miaka 3 anasoma Chekechea mara tatu hapa inategemea pia na akili ya mtoto kama yupo vizuri anaweza kusoma chekechea mara 1 au 2 halafu akaingie la Kwanza.
 
Mm nilianza na miaka 5. Ila kwa hongo.......mama alikuwa akimpa mwalimu nyanya na vitunguu ili asinifukuze shule. Nilidumu hadi shule kumaliza japo baada ya kumaliza la saba nikawa gumzo kila kona, bahati nzuri nilikuwa nakua haraka na kurefuka............baadae kufika form IV nikawa naonekana mkubwa. Wakaachaga kunishangaa. Ila umri nahisi ni 5-8 mtoto anaweza kuanza STD I
 
From the ancient philosopher Plato stated that the right age for the child to attend the school is at 7 years.. Below that age the child is supposed to perform other duties at home with the guidance from his/her parents. 7 years is the age where by a student can effectively grasp and fully understand what has been taught and sometimes can come out with critical ideas or the whole process of reasoning which is the work of the Mind.

Mnaowapeleka watoto wenu daycare school mnaandaa bomu la wazembe maofisini.. Hata kufua tuu nguo au kudeki vyumba Hawajui.
 
Mimi nimeanza la kwanza nikiwa na miaka 11. Mazingira wakati mwingine yanasababisha lakini umri mzuri kwa shule zetu ni miaka 6-7
 
Juzi nilisikia binti mmoja ana miaka kumi na minne nikashangaa nikajaribu kufanya hesabu ya miaka ikawa
miaka 3 ndo anaanza darasa la kwanza baada ya miaka 7 akamaliza la saba anamiaka 10, mpaka miaka kumi na 14 yupo form 4 je hakuna miongozo ya muda wa kuanza la kwanza?
kisheria ni miaka 7.lakini wakati mwingine uelewa wa mtoto hupelekea kuanza darasa la kwanza na chini ya umri huo kwa mfano mwanangu alianza darasa la kwanza akiwa na umriwa miaka 5 sasa ana umri wa miaka 14 yupo kidato cha 3
 
5 au 6,huyo atakuwa alirushwa madarasa , inawezekana la pili hakusoma anarushwa la tatu vivyo hivyo akarushwa tena .
 
Mm nilianza na miaka 5. Ila kwa hongo.......mama alikuwa akimpa mwalimu nyanya na vitunguu ili asinifukuze shule. Nilidumu hadi shule kumaliza japo baada ya kumaliza la saba nikawa gumzo kila kona, bahati nzuri nilikuwa nakua haraka na kurefuka............baadae kufika form IV nikawa naonekana mkubwa. Wakaachaga kunishangaa. Ila umri nahisi ni 5-8 mtoto anaweza kuanza STD I
Una uhakika mama alitoa kitunguu?
 
Kuna kabinti kalianza la kwanza na 4yrs. Alivyofika la 5 au 6 km sijasau akafanya interview ya sekondari mara kakenda kusoma sekondari..kamegraduate udaktari this year ....wangekua wanaangalia tu uwezo wako miaka 7 isiwe ndio lazima
 
Back
Top Bottom