Hivi ni Uongozi wa CHADEMA tu ndio umekaa mda mrefu madarakani!? CUF? NCCR? TLP? UDP? DP?

  • Thread starter Geofrey Andrew Sanga
  • Start date

G

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Messages
251
Likes
3
Points
35
G

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2013
251 3 35
napata wasiwasi kuona watu wanapotoshwa na wana potoka kabisa kuhusu suala la uongozi mkuu wa vyama vyetu na kwanini leo watu wanaisema CHADEMA tu ambayo kiukweli tangu kimeanzishwa huu uongozi uliopo ni wa awamu ya TATU, lakini vipi ule wa wenzao wa CUF Lipumba ni ni mwenyekiti wa ngapi tangu CUF imeanzishwa!? na je vipi kwa TLP? au vipi kwa wale wa NCCR- MAGEUZI?? na ndugu yangu mtikila na DP yake nae ni awamu ya ngapi?? na bwana mapesa yule CHEYO wa UDP!? hivi hata ruzuku zao nani anae zicontrol!!?

CHADEMA kweli wewe ni MTI wenye MATUNDA.
 

Forum statistics

Threads 1,252,134
Members 482,015
Posts 29,797,628