Hivi ni system ya Elimu Nchi zote lazima zitoe Grade Point Average (GPA) kwenye vyeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni system ya Elimu Nchi zote lazima zitoe Grade Point Average (GPA) kwenye vyeti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Jan 14, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wana JF wenzangu naomba kujua nini umuhimu wa GPA kwenye vyeti vya bachelor,Masters na PhD na je nchi zote duniani ni lazima zitoe vyeti vikiwa kwenye mfumo huo??na pia mfano narudi Tanzania na cheti kisichokuwa na GPA yaani kina matokeo tu inakuweje wanakitambua au watatambua vile vilivyopo na GPA tu!!!nimeuliza hivyo kwasababu nipo kwenye nchi ambayo mfumo wake wa vyeti vya bachelor hawaweki GPA wao wanaandika masaa tu ya kuhudhuria darasani yaani ulitakiwa uhudhurie masaa mangapi na umehudhuria mangapi,pia na maksi za kila somo kama ni A,B,C tatizo langu ni kwamba kwa cheti hiki kitatambulika bongo bila GPA!?
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ukija hapa utapewa pepa kujustify hayo matokeo yako au hatutakitambua kabisa.
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pepa kujustfy kivipi na inakuweje!fahamu kwamba hizo ni system za nchi tofauti kwamba hata tanzania nadhani wanafuatisha system kati ya mwingereza au mmarekani!kitu kama hicho so sipo tayari kufanya pepa vinginevyo labda nianze upya bachelor!
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  :Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:
   
Loading...