Hivi ni shell gani huyu dada anafanya kazi?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
ef117076bd161a7af8ccb4eadac5e3b4.jpg


Wakuu nisaidieni. Huyu dada anafanya kwenye shelli gani hapa Tanzania. Ipo mkoa gani na inaitwaje?
 
Acha usidanganye watu, huyo dada yuko pale kwenye kituo cha mafuta cha Njake Oil Ltd pale Mianzini karibu na Arusha Bar maarufu Matako Bar.
 
Itakuwa sheli ya kwenye muvi kama si ya Vandame basi Rambo wasiliana nao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom