Hivi ni sawa kwa mayahudi kukaa ktk ardhi wa palestina?

Status
Not open for further replies.

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,687
2,238
Mayahudi wamevamia ardhi ya wapalestina na mpaka leo wanawanyanyasa waarabu na kuwatesa. Kihistoria mayahudi ndio wakazi wa asili wa ardhi hii ya Palestina. Kifupi naweza kusema mayahudi wamerudi nyumbani kwao baada ya kukaa ugenini kwa miaka mingi. Yaani namaanisha leo hii Wangoni waamue kurudi South Africa ambako ndio asili yao,Wazigua warudi Somalia ambako kihistoria ndio asili yao, washihiri warudi kwao Yemen, makuburu nao warudi kwao, n.k

Je, watu kama hao niliowataja wakitaka kurudi nyumbani kwao watapokelewa na je wanahaki ya kuwapokonyonya ardhi wale watakao wakuta kwa hoja kwamba sisi ndio mababu zetu waliishi hapa?
Simply mwenzangu na mimi nikukute hapo unapoishi na familia yako imeshakaa miaka zaidi ya mia tatu, je hapo utaondoka na hata nikiwa sina document zozote zinazoonyesha kuwa mimi ndio ninaemiliki?

AKHSANTENI.
 
kwani waliondoka wote? na unaposema wamevamia una maana gani?

Katika kusoma historia sijawahi kukuta taifa linaitwa Palestina, wala lugha ya Wapalestina wala sijaona utamaduni wa kipalestina. Na kwa taarifa fupi tu Wayahudi ndio waliitwa Wapalestina na Gazeti lao maarufu liliitwa Palestinian Post (kama sijakosea spelling).

Ninachokikuta katika historia ni kuwa Warumi baada ya kuwa wamesumbuliwa na wayahudi kwa muda mrefu kwa uasi wao usiokoma tangu enzi za Yuda Makabayo vs Antichus Epiphanes wakaamua kuwasambaratisha kama taifa. Wakaua wengi sana kulingana na Josephus, et al na wakaibadili jina Yudea na Samaria na kuiita Palestina. Hawakuwafukuza wote wapo waliobakia ingawa wengi walipelekwa uhamishoni.

Hii si mara ya kwanza katika historia wao kufanyiwa hivi.......

Kabla hujasema wamevamia ungetuambia historia ya wapalestina ili tupime. Objectively bila religious emotions. Maana haya mambo ni historia ambayo yeyote anaweza kuchimbua na kuona!
 
Mayahudi baada ya kuondoka ktk ardhi ile na kuparaganyika sehemu mbalimbali kama Misri na baabae Nabii Yoshua kuwarudisha Palestina baada ya kumpinga Mussa tena baadae wakaondoka na aliekuja kuwarudisha mayahudi Palestiana ni Muingereza ambaye ndie aliewakusanya wakati wa utawala wake katika ardhi ya Palestina.
Ngoja tukikutana tena kesho tutaanzia hapa panapomajaliwa.
 
Hii mada mungu atuweke salama asbui nataka niifatilie hasa

Kumekucha jamani karibuni jamvini tuendelee kulijadili hili. Nitaomba pamoja na mambo mengine tungejadili kidogo historia ya wanaesrael kutoka kuwapo katika ardhi ya PALESTINA, kuondoka mpaka kurudi, pili tuangalie kisheria/mikataba ya kimataifa juu ya uhalali wa kurudi kukaa katika ardhi ile hapa itakuwa sio vibaya pia tukiangalia na kwa upande wa dini kwani huwezi kulizungumza hili bila kuangalia upande wa dini.
NOTE:

Mazungumzo yetu yajikite zaidi katika uhalali wa Mayahudi kurudi Palestina baada ya kuondoka Palestina.
Usiku mwema Pia!
 
Mayahudi baada ya kuondoka ktk ardhi ile na kuparaganyika sehemu mbalimbali kama Misri na baabae Nabii Yoshua kuwarudisha Palestina baada ya kumpinga Mussa tena baadae wakaondoka na aliekuja kuwarudisha mayahudi Palestiana ni Muingereza ambaye ndie aliewakusanya wakati wa utawala wake katika ardhi ya Palestina.
Ngoja tukikutana tena kesho tutaanzia hapa panapomajaliwa.

hapa hujaeleweka kabisa
 
Kwa mujibu wa biblia

Mwanzao wa habari ilianza pale Ibrahimu aliposafiri toka uru ya ukaldayo kwenda kaanani (nchi ya ahadi) kwa maelekezo ya BWANA Mungu Jehova

(Gen 12:1 [HCSB])
The LORD said to Abram: Go out from your land, your relatives, and your father’s house to the land that I will show you.

(Gen 12:5 [NET])
And Abram took his wife Sarai, his nephew Lot, and all the possessions they had accumulated and the people they had acquired in Haran, and they left for the land of Canaan. They entered the land of Canaan.

(Gen 12:7 [HCSB])
Then the LORD appeared to Abram and said, “I will give this land to your offspring.” So he built an altar there to the LORD who had appeared to him.
 
Hapo ndio bila shaka pakuanzia historia yetu iliyopelekea mpaka leo damu inamwagika Palestina kati ya mafahali wawili.
Naandika summary ya historia hiyo then ndio mnakasha unoge.
 
Abraham alipokuwa pale alipata watoto wawili kulingana na biblia ingawa mtoto wa mjakazi na mjakazi walifukuzwa (yaani Ishmael na mama yake Hagar) ndo nchi ya Huko uarabuni (Saud Arabia) ambapo kuanzia hapo biblia inaanza kuelezea uzao wa Ibrahimu kupitia kwa mtoto aliebaki yaani Isaka ambaye akamzaa Yakobo na Esau ambapo Esau nae alihama akaenda katika nchi ya Seiri nchi ambayo walipewa na BWANA iwe urithi wao. kwa hiyo uzao uliokua umebaki katika kaanani ni uzao wa Yakobo
 
Yakobo akazaa watoto 12 au kwa lugha nyingine mataifa 12 ambao walikaa kaanani na Yakobo baba yao. Yakobo na nyumba yake walitakiwa kwenda Misri kwa sababu ya njaa ambayo ilikuja juu yaa nchi na si kwamba walifukuzwa. walitanguliwa na Joseph ambaye walimuuza lakini biblia inasema ulikuwa mpango wa BWANA Mungu kuwapeusha na njaa nod maana Yusufu aliwatangulia Misri

(Ps 105:17 [NET])
​​​​​​​He sent a man ahead of them – ​​​​​​Joseph was sold as a servant.

(Ps 105:18 [NET])
​​​​​​​The shackles hurt his feet; ​​​​​​his neck was placed in an iron collar,

(Ps 105:19 [NET])
​​​​​​​until the time when his prediction came true. ​​​​​​The LORD's word proved him right.

(Ps 105:20 [NET])
​​​​​​​The king authorized his release; ​​​​​​the ruler of nations set him free.

(Ps 105:21 [NET])
​​​​​​​He put him in charge of his palace, ​​​​​​and made him manager of all his property,
 
Katika kusoma historia sijawahi kukuta taifa linaitwa Palestina, wala lugha ya Wapalestina wala sijaona utamaduni wa kipalestina. Na kwa taarifa fupi tu Wayahudi ndio waliitwa Wapalestina !
Nimeona haina hja ya ku Quote yote ulio andika sababu hujui unacho ongea, we unadhani neno Palestina ni wayahudi ndio walikuwa wakitwa vile, kama wayahudi ndio walikuwa wakitwa vile mbona sasa hawataki kusikia neno la Palestina.

Sijawahi kusikia mtu akakataa history yake, unless awe hana history ya kweli.
 
walipokuwa Misri walitakiwa kurudi na Bwana aliwaambia atawarudisha kwenye nchi yao (Kaanani)

(Gen 42:2 [NET])
He then said, "Look, I hear that there is grain in Egypt. Go down there and buy grain for us so that we may live and not die."

(Gen 46:1 [NET])
So Israel began his journey, taking with him all that he had. When he came to Beer Sheba he offered sacrifices to the God of his father Isaac.

(Gen 46:2 [NET])
God spoke to Israel in a vision during the night and said, "Jacob, Jacob!" He replied, "Here I am!"

(Gen 46:3 [NET])
He said, "I am God, the God of your father. Do not be afraid to go down to Egypt, for I will make you into a great nation there.

(Gen 46:4 [NET])
I will go down with you to Egypt and I myself will certainly bring you back from there. Joseph will close your eyes."
 
Waliporudi walirudishwa na BWANA Mungu kwa mkono wa nabii Musa na aliwapa ahadi upya ya kuwapa nchi ya Kaanani na kwa ahadi ile ilikuwa kama alikuwa anawapa upya nchi ya Kaanani

(Exod 3:7 [NET])
The LORD said, "I have surely seen the affliction of my people who are in Egypt. I have heard their cry because of their taskmasters, for I know their sorrows.

(Exod 3:8 [NET])
I have come down to deliver them from the hand of the Egyptians and to bring them up from that land to a land that is both good and spacious, to a land flowing with milk and honey, to the region of the Canaanites, Hittites, Amorites, Perizzites, Hivites, and Jebusites.
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom