Hivi ni sahihi Nchi nzima kuwa na kipimo kimoja cha covid19

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,272
7,870
Habari wakuu,
Tuchukue tahadhari corona inaua

Niende moja kwa moja kwenye mada,
Ivi kwel ni sahihi kwa Nchi yetu yenye watu zaidi million 55 Iwe na kipimo kimoja cha covid19 .

Kwa mikoa yote sampuli zinazochukuliwa za washukiwa Wa ugonjwa wa covid19 lazima zitumwe Dar.

Nilikua naishauri serekali kuongeza vipimo japo kila mkoa ukawa na kipimo hata kimoja , kwan kuna baadhi ya watu nimesikia wakilalamika kua ukienda hospital ukiwa unashukiwa Una corona unachukuliwa sampuli kisha sampuli hizo zinatumwa Dar.

Nasikia baada ya hapo hupati huduma yeyote mpaka majibu yarudi ,mamlaka wafuatilie hili kama ni kwel kwan tunaweza poteza watu wengi kwa kukosa huduma kisa wanashukiwa wana korona hata kama hawana corona .

Nashauri serekali ifanye hivyo kwa kuongeza vipimo ili kuokoa maisha ya watu, kwan watu bila kua na afya bora c chochote kwa maendeleo ya Nchi.

Nawasilisha najua serekali yetu sikivu italifanyia kazi hili.

Tuchukue tahadhari corona inaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwa akili tu ya kawaida hilo ni jambo la serikali kusubiri kushauriwa ??
Kama alivyosema baba Askofu, nyie kutaneni na Simba njiani halaf badala ya kukimbia huku unasali, we piga magoti usali uone jinsi utakavyogeuzwa lunch !!

Tunapewa list ya sehemu hatarishi aka red zones.... halaf hizo hizo wala hazifungwi aka bar, clubs, minada nk
 
Tuendelee kupiga kelele inawezekana serekali ikaelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom