Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,319
- 6,846
Huwezi kuhisi kuwa una upako isipokuwa unaweza kujua kuwa una upako. Kwa mfano, Mzee wa Upako Mch. Anthony Lusekelo, anajua kuwa ana upako, huwa hahisi kuwa ana upako.Jaman, Asalaam aleikhum wale waislam na Tumsifu yesu kristo kwa wale wakristo mimi swali langu ni je?
Kama ni sahihi kuanzisha kanisa lako pale unapojihisi una upako wa roho mtakatifu?
Kama ni Yes je siku ya hukumu tutahukumiwa kwa imani zetu au kwa imani zetu na madhehebu yetu piaa kumekua na wimbi kubwa la watumishi ambao wanajiita watumishi wa Mungu mimi siwezi kusema ama ndio ama sio lakini maandiko yanasema
JIHADHARINI NA MANABII WA UONGO
Maana siku za mwishi watakuja wengi wakijiita manabii,
Naona sasa kuna watu wanachukua advantage ya ujinga wa watu fulani kama Fursa pia.
Ukiona unahisi, huyo siyo Roho Mtakatifu (RM). RM huwa hawezi kuongea na muumini halafu akamuacha kwenye mashaka. Ukiona uko kwenye mashaka na unauliza lakini bado unaendelea kuwa kwenye mashaka, hapo unakuwa hujajibiwa. Kwa hiyo, hali hiyo uliyonayo wewe sasa hivi, nakushauri usifanye hilo jambo, bado hujaitwa! Usije ukalazimisha halafu ukawa uanasimama madhabahuni unaanza kurusha mapepo kwa waumini. Haya nayo pia yapo hasa kwa wale ambao hawakuitwa bali walilazimisha, wakiwa wanatafuta ajira Kanisani, tumeshayaona yapo!