Hivi ni sababu zipi za msingi zinazofanyaga Kagere asianze kucheza??

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Kagere ni mshambuliaj mzuri Sana tena ana uwezo wa kufunga magoli, lakini cha kushangaza hachezeshwi, benchi la ufundi likiona muda umeisha ndio wanamwingiza.

Mechi ya Leo mimi naamini Kagere angecheza muda mrefu angefunga goli.

Sasa tatizo ni nini hapo kwenye bench la ufundi?
 
Kagere ni mshambuliaj mzur Sana tena anauwezo wa kufunga magor, lakn Cha kushangaza hachezeshwi,bench la ufund likiona muda umeisha ndo wanamwingza.
Mech ya Leo mim naamn Kagere angecheza muda mrefu angefunga goli
Sasa tatzo ni nin hapo kweny bench la ufundi ???
Kweli aysee hata huwa najiuliza sana
 
Sio Kagere tu
Kuna Duncan
Kuna Ajibu
Na kuna huyo Kagere

Vijana sijui shida ni nini hawawekwi
 
Kagere kacheza dakika almost 20 umeona hata kadribble mpira. Ni mshambuliaji mzuri ila hana msaada timu ikiwa haina mpira
 
Kagere kacheza dakika almost 20 umeona hata kadribble mpira. Ni mshambuliaji mzuri ila hana msaada timu ikiwa haina mpira
Hajacheza dk 20,kaingzwa zkiwa zmebak tano,zkaongezwa zngne tano!! kwa kifup hajacheza kabsa,maana kwa hzo dk wachezaj wa Galax walikuwa wanajiangusha na kujifanya wameumia il kupoteza muda
 
Hivi takukuru hawahusiki kuchunguza rushwa kwenye timu za mpira,makocha hawaombi % iliupangwe na ukikataa anakufanyia zengwe?
 
Kazi na umri. Kagere hana pumzi ya kupiga dk 90 kwa speed ile ile. Kocha anakupanga kutokana na performance ya kwenye mazoezi.
 
Impact ya kagere ni kuweka mpira kwenye net hamna kingine anakuweza kukuofa uwanjani. msimu uliopita tumeona makali ya mugali na Bocco. sasa unaanzaje kumueka nje top scorer wa timu halafu umuanzishe kagere? sometime musikariri Kagere tayari jua la saa kumi na mbili lile..hamna jipya.
 
Mimi naona mnamtupia tu gunia la lawama huyo kicha wenu! Kagere wa miaka miwili iliyopita, ni tofauti kabisa na Kagere wa sasa! Na huu ndiyo ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom