Hivi ni nini kinaendelea Clouds Tv?

Kumbe Clouds ni TV ya Taifa,,, ohooo aya endelea kuandaa makala, ila ukijakumbuka kuwa TV sio moja sijui utaiangalia vipi hii makala hewa yako maana jinsi inavyokuvua nguo cjui tu
Soma vizuri ulichokiandika ukiona bado unahisi ni sahihi naomba ulale tu inawezekana akili yako imechoka haifanyi kazi kisha amka tena usome ukiona bado unakiona sahihi then kama si elimu .....basi tatizo ni malezi au ni ubongo wako kuna misumali imelegea........jaribu tu kuwa makini usije ukaongea mambo ya ajabu mbele za wakwe zako siku za usoni
 
Chanel 10 imejaa maustaadhi but they know how tu behave kama media ya kisasa.........sasa sijui wewe unavyodhani ni kuwa kwasababu ni private media basi wanayohaki ya kufanya wanachotaka........BIG NO........hawatakiwi kufanya tu wanachotaka there are some rules and regulations to follow unapokuwa unakituo cha televisheni........sasa usidhanie uhuru ni kitu cha kuchezea chezea tu.....be smart......think deep na critically sio unafanya shallow thinking halafu unajiona umereason vya kutosha......we unajua impact au madhara ya dosari niliyoizungumzia.........mimi hadi napost hapa inamaana watu wanaizungumzia hii inshu huku mitaani na wao hawaelewi kama mimi ni kwanini hii stesheni wapo hivyo.....sasa usinijie na mob thinking hapa.......niambie umeelewa nini halafu nipe faida ya unachotetea kwa maslahi ya taifa sio maslahi ya raia wa dini fulani.....sawa bwana mdogo?!
Haya bwana mkubwa mwenye kuwaza vyema na sahihi.
 
[QUOTE="lait kama ungekuwa na upeo wa hata 0.02% kuhusu media ungejenga hoja ................... Kwakifupi Clouds media wanachofanya ni "unethical media campaigning" kwa maana ina element za udini ndani yaake....

Wewe mwenye uelewa 100% usitumie nguvu kuelewa, kuna tofauti kat ya akil na ubongo, napata shaka na uelewa wako maana huwez kumpangia mtu utendaj wa shughul zake, narudia tena kukuambia kua Clouds tv wanajua wanachokifanya na pia narudia kukushaur kua kwa mwez huu usiitizame, hamia steshen nyingine au anzisha yako ufanye unavyotaka maana unaonekana unauelewa mkubwa wa Media.
 
Kama mnafumbia macho vitu muhimu kama hivi nadhani sijui mnajipangaje kuwa raia wa aina gani msio jua kukemea watu au taasisi zinazofanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na ustawi wa jamii ya watanzania.......ni fedheha kubwa sana kuwa na aina hii ya kizazi kisichojua wala kuelewa misingi ya taifa ni nini.
Mkuu misingi unayoongelea ndio misingi tuliyorithi yale mabaya tunajitahidi kuyaacha na mazuri kuyaendeleza.....
Sijui umezaliwa mwaka gani?
KIINTARJENSIA najua kabisa wewe ni kizazi cha Dot Kom!
Uliza hapo awali Ndugu zetu Waislam na Wakristo waliishi vp...
Walivumiliana kipindi cha Mfungo walijitahidi kwa hali na mali kuwa support wenzao na kipindi Ibada ya Kikristo hao Ndugu zetu walijitahidi kutu support kama sisi tulivyofanya kwao...
Nenda tena shule kajifunze kabla ya hizi dini Tanganyika kulikuwa na dini gani?
 
Hii stesheni inawalakini..........huu uzi nimeupost siku si nyingi hapa watoto wa mama wanaolipa kodi ya shikamoo wakawa waropoka tu ooooh sijui kama naona vipi nibadilishe chanel........haya leo kipi kimewasibu hadi mnalalamikia tena chanel ya clouds kuhoji watu wanaoshiriki ushoga .......si mlisema kuwa hii chanel ina watu wasomi kuliko mimi ambao wanaelewa kuhusu mambo ya media zaidi............aiseee kweli nimeamini..........viongozi wa hili taifa wanakazi kuongoza watu wasioona mbali..............wakati nalalamikia ethics za uandishi wa habari nilikuwa najua fika kuwa hawa jamaa wataendelea tu kuvunja miiko.........sasa je na mimi nitakuwa nakosea nikisema wale wanaolalamikia kuonyeshwa habari za ushoga wanaingilia vipindi vya watu......wabadili chanel kama vipi stesheni zipo nyingi.......

Sasa tutaelewana kuwa hata kama kituo cha televisheni ni binafsi bado kinawajibu wakufuata miiko katika uandaaji wa vipindi vyake miiko ya kitaifa na jamii husika.
 
Habari ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote mnaopenda maendeleo ya taifa letu teule.

Dhumuni la uzi huu ni kuhoji mwenendo unaoonekana katika kituo cha televisheni cha Clouds TV hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan.
Kiukweli nashangazwa kama sio kupigwa butwaa na mwenendo wa vipindi ambavyo kwa masaa yote vimekuwa vishabihi maudhui ya kipindi hiki cha wanaimani wenzetu. Yaani tokea asubuhi hadi jioni imekuwa ni matangazo......kampeni na vipindi ambavyo ni vinavyohusu imani ya kiustadhi tu kiasi kwamba najiuliza hivi hii stesheni ni ya kihafidhina au ni nini.
Hivi ruge na kujifanya mjuaji kote ameshindwa kujua kuwa clouds inapatikana katika vingamuzi ambavyo vinaifanya kutazamwa na mamilioni ya watanzania bara ambao si wote wanashea imani ya kiislam........
Sikatai kama kituo cha televisheni wanaweza watakia mfungo mwema watazamaji wao ambao wanafunga wakati huu lakini isiwe too much kama wanavyofanya kile si kituo cha dini fulani hadi wakae wakituonyesha mawaidha......mara hadi maigizo yote yanaakisi dini ya kiislam.......watangazaji wote ni asalam aleikum muda wote kwani mliambiwa wapi kuwa inapofika ramadhani tanzania nzima tunafunga?! Mbona hizo mbwe mbwe hatukuziona kipindi cha kwaresma kama nyie ni kweli kituo ambacho mnaheshimu imani za wengine.....?!
Hebu acheni unafiki uongozi wa clouds mnachofanya si jambo la kistaarabu ni unafiki wa kujifanya ni media mnayojali imani kumbe mna masilahi yenu ya kimasoko ya kuwashika akili watu kwa kutumia dini.
Dini ya kiislam wanazo stesheni zao za redio na televisheni ambazo mwezi huu watapata hayo mawaidha na hata ibada wakitaka.
Sasa ninashangaa sana mnapojiita televisheni ya watu au redio ya watu halafu mnafanya unafiki huo wa kujifanya mnajua sana kushabikia imani ya dini fulani na kuitumia kama karata ya kuwashika ili watazame stesheni yenu.......je mnadhani na wasio katika imani hiyo wanafurahia kuaangalia hicho mlicho kazana nacho?!
Hii stesheni m'meanza kufulia vipindi hadi mnaanza kutumia udini kama gia ya kuvutia watazamaji kitu ambacho si kizuri kwa taifa. Mbona wenzenu I.T.V......chanel ten......star tv.......na nyenginezo hawana hayo mashauzi........?!
Huo ni unafiki na muuache mara moja .......kama mnaona vipi basi nendeni mkabadili usajiri wa matangazo ili msajiriwe kama kituo cha matangazo ya dini ya kiislam ila sio kutuonyesha vipindi vyenye maudhui ya dini moja na mkijua wazi hili taifa lina mchanganyiko wa imani........na zipo stesheni maalumu kwa kila imani husika .....wale ambao wanataka hizo vitu waende kutazama huko na sio nyie kuwa wanafiki kwa kuwachota watu akili mkitumia dini yao ili muonekane nyie ni baab kubwa wanafiki wakubwa nyie.
Na kuanzia leo nimeacha rasmi kuwafuatilia vipindi vyenu maana nimeona dhahiri kuwa ninyi si kituo cha watu kama mnavyojiita ila ni watu wavinafsi na haya mnayoyafanya wanatufanya wenye imani tofauti kujihisi kutothaminiwa kabisa na wapanga vipindi wenu.
Bakini na mavipindi yenu ya kinafiki na mjue kuwa kila siku zinapokwenda mnapoteza watazamaji na wasikilizaji m'moja baada ya mwingine. Bora nisikilize radio Tanzania kulikoni Clouds......wamekuwa na mambo ya ajabu sana.
Kusaka you should fire ruge he is not a creative person anymore.......

Mkuu kuna channels nyingi sana ambazi unaweza kusikikiza ukaachana na clouds fm, hii energy na muda uliyotumia kuisemea cluods ungeweza kuitunza na kusikiliza channel nyengine, hawajakushikia bunduki, hii channel ya waislam tuachie sisi wenyewe waislamu
 
Unauchukia sana Uislam...
 
Unauchukia sana Uislam...
Unaweza kufikiria hivyo .......siwezi kukuzuia kuwaza hayo mawazo maana wewe ni binadamu unaaakili zako na zinategemea umelelewa na kukuzwa vipi..........katika hali ya kawaida kama una akili timamu .....unadhani kuwa kuna vitu vipo perfect na haviwezi kutolewa dosari .......kukusaidia tu hapa topic nilikuwa naongelea na ambayo inashabihi kichwa cha habari ni "MEDIA ETHICS"........na sio "Anti-muslim movement" sawa.....?!
Sasa kuwa makini next time unapotoa opinion kuhusu chochote take a little moment kujua kama umeelewa andiko au upo katika hali gani ya utulivu wa akili.
 
Ufinyu wa mawazo unaweza kukusababishia kifo sasa yy analalamikia clouzds bila kujua vipi vyote vile ninalipiwa kama hata angali chanel nyingine usiwe mvivu wa kufikiri utadhindwa kuishi maisha salam
kuna shoga amelipia juzi hapa aongelee habari za ushoga wake.......i hope na hiyo umeitazama pia........maana watu wenye majibu mepesi huwa hata hamjui nini mnawaza vichwani
 
Back
Top Bottom