Hivi ni nini husababisha mtu kupenda milio ya magari

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Sijui niseme ni ugonjwa au ni mazoea yaani nimejikuta napenda sana milio ya magari makubwa makubwa kama scania ikipanda mlima au haya ya mwendo kasi yakisimama pale linapoanza safari yaani najikuta nasikilizia linavyoenda hadi nabududika wakati mwingine hata coaster nazo kuna baadhi nimekuta navutiwa na hiyo milio msaada wakuu hivi ni ugonjwa au ndo hali ya maisha inachangia
 
Mkuu hivyo vitu nakumbuka nilikuwa nafanya nikiwa miaka ya utotoni aisee...

Mkuu wewe upo -18 au 18+?
 
Sijui niseme ni ugonjwa au ni mazoea yaani nimejikuta napenda sana milio ya magari makubwa makubwa kama scania ikipanda mlima au haya ya mwendo kasi yakisimama pale linapoanza safari yaani najikuta nasikilizia linavyoenda hadi nabududika wakati mwingine hata coaster nazo kuna baadhi nimekuta navutiwa na hiyo milio msaada wakuu hivi ni ugonjwa au ndo hali ya maisha inachangia
Hahahahhahah
Ukiona hvo unakaribia kununua lako

Pox
 
Hop hata shemeji yetu asipotia mlio huko chumbani dude haliamki Mkuu! Ukiona unapenda sana milio hiyo jua wewe ni katili sana mkuu umeumbwa kukandamiza viumbe hai na mfu
 
are you a car guy? if yes, ni kawaida tu.

mimi binafsi napenda sauti ya anti-lag, turbo flutter, na turbo spool. enzi za utoto nilikuwa nafurahia kupita kiasi sauti za sport mufflers.

by the way, hakuna mlio wa engine ninaoupenda baada ya mlio wa boxer engine kama mlio wa inline 6 na v8 turbodiesels.

best engineering achievement
 
please consult the nearby doctor. may be your heart is made with car engine.
 
are you a car guy? if yes, ni kawaida tu.

mimi binafsi napenda sauti ya anti-lag, turbo flutter, na turbo spool. enzi za utoto nilikuwa nafurahia kupita kiasi sauti za sport mufflers.

by the way, hakuna mlio wa engine ninaoupenda baada ya mlio wa boxer engine kama mlio wa inline 6 na v8 turbodiesels.

best engineering achievement
Aisee usintie machungu, napenda milio ya landcruiser hasa ule wa Engines za HDJ80 na HDJ100...Ukiangalia sana utagundua mlio wa hizo gari unafanana kabisa na wa zile Toyota Coaster deluxe.Huwa naskia raha tu zinavyovuma
 
Teh teh landcruiser (kasoro v8) inashea engine na coaster mkuu (1hz, 1hdt, )
 
Back
Top Bottom