Hivi ni nini hatma ya vijana wasio na ajira wenye umri wa miaka 26 na kuendelea

utakufa masikini kijana!
badili gia angani, anza kilimo pia ndoto yako ya kuwa mwalimu haitakufikisha popote kimaisha zaidi ya kuona wenzio wakipga hatua kimaisha

Wachana na ualimu!

mnahubiri hizi mambo huku mmeajiriwa.
 
Nani aliyekudanganya kuwa ajira za serikalini umri wa mwisho ni 24yrs?

Umri wa mwisho kuajiriwa serikalini ni miaka 45
Ni sawa usemacho mkuu,lakini kuna levels tofauti za ajira,hiyo 45 unayoizungumzia ni kwa some senior positions huwezi pata first appointment at that age. Na anachokisema mtoa uzi ni kweli matangazo ya ajira nyingi km si zote kwa ss ni age bound hizo hizo.
 
Mkuu hiyo ardhi ipo wapi? Au mnaropoka tu nyuma ya keyboard??
Uko mkoa gani huko kusiko na mapori na ardhi ye rutuba?

Wacha uvivu mkuu
Ni sawa usemacho mkuu,lakini kuna levels tofauti za ajira,hiyo 45 unayoizungumzia ni kwa some senior positions huwezi pata first appointment at that age. Na anachokisema mtoa uzi ni kweli matangazo ya ajira nyingi km si zote kwa ss ni age bound hizo hizo.
 
Ni sawa usemacho mkuu,lakini kuna levels tofauti za ajira,hiyo 45 unayoizungumzia ni kwa some senior positions huwezi pata first appointment at that age. Na anachokisema mtoa uzi ni kweli matangazo ya ajira nyingi km si zote kwa ss ni age bound hizo hizo.
Mkuu unachozungumza uko sawa 45 years ni level ya wakurugenzi wakuuu
 
""KUKOSA AJIRA UKIWA UMESOMESHWA NA MAMILIONI YA PESA,
NI SAWA SAWA KUITWA MGUMBA ...........

KUKOSA AJIRA NI ADHABU KUBWA SANA
 
Tanzania inaardhi kubwa na nzuri kwaajili ya kilimo!

Nendeni shamba mlime mazao ya chakula mtuletee jijini!
Ww nakufananisha na viongozi wetu wanao imba vijana jajirini wakati watoto wao wanawachomeka makazini kwa nn wasiwaambia na vijana wao wajiajiri
 
Sawa. Mmewapa pesa ya kukodia mashamba na pesa ya mbegu na dawa? Kuongea ni rahisi kuliko matendo
Wanaongea tu hawa ivi uko shamba nakoenda kulima kipindi chote cha kilimo hadi mavuno nakidhi vipi mahitaji yangu ya kibinadamu kula.. kuvaa.. pa kulala. Hawa naumia sana walio kwenye ajira kuwaambia vijana wakalime embu waache kazi ww mifano.
 
Umeona eeh. Ni rahisi sana kutoa ushauri kwa kitu usicho na uzoefu nacho. Wao wanadhani kujiajiri ni rahisi kiasi hicho.
 
Tatizo letu tunaona aibu kuanza from zero.
Lkn usipokuwa na aibu maisha unatoka hata bila ya ajira
 
Wanaongea tu hawa ivi uko shamba nakoenda kulima kipindi chote cha kilimo hadi mavuno nakidhi vipi mahitaji yangu ya kibinadamu kula.. kuvaa.. pa kulala. Hawa naumia sana walio kwenye ajira kuwaambia vijana wakalime embu waache kazi ww mifano.
Mkuu kwani unakidhi vipi mahitaji ya bando za internet unazokesha nazo hapa jf, facebook, instagrm na kwingineko! Je umewahi jiuliza kwamba hiyo simu unayotumia ni mtaji wa kununua heka mbili shamba?
 
Itakiwa wewe umeangalia ajira za upolisi au jeshi mbona sekta nyingine nyingi tu hawasemi chini ya 24? mfano mzuri udaktari.. unategemea daktari akasomee kozi ya udaktari sijui miaka 5 halafu awe under 24??
 
Yaap yaan ni kwel. Kama mm ni mwalm wa kingereza na kiswahl nmemaliza mwaka juz ad Leo nasaka kbarua nmekosa..na nna GPA nzr tuu ya 3.8. Yaan nmeamua kurud kuuza miwa mtaan. Kwel sio kua nmeichukia serkl tu lakn nmeuchukiaa mfumo uliotufksha Leo hapa tulpo. Duuh.
 
Back
Top Bottom