Hivi ni nani mshauri wa Mbowe na Dr Slaa..?

Mimi mantiki ya thread yake sijaielewa kabisa,maana ukiangalia kichwa cha habari na maudhui yake haviendani kabisa.ninavyoona mm ww ndio huna mshauri maana hata mazingira ya kisiasa hapa nchini umeshindwa kuyasoma?ukiona watu wazima tena toka chama tawala hawatulii ujue mambo hayaendi vizuri.tangu umehamia ccm ni lini ccm walifanya ziara tokea zanziba hadi bara bila kupumzika kama safari hii? Jiulize alafu unipe jibu.
 
Juliana Shonza endelea kuwafunza bavicha watakuelewa tuu japo pole pole.

Mshauri wa Mbowe ni Mukya na Mshauri wa Slaa ni Josephine.
 
Last edited by a moderator:
Mimi mantiki ya thread yake sijaielewa kabisa,maana ukiangalia kichwa cha habari na maudhui yake haviendani kabisa.ninavyoona mm ww ndio huna mshauri maana hata mazingira ya kisiasa hapa nchini umeshindwa kuyasoma?ukiona watu wazima tena toka chama tawala hawatulii ujue mambo hayaendi vizuri.tangu umehamia ccm ni lini ccm walifanya ziara tokea zanziba hadi bara bila kupumzika kama safari hii? Jiulize alafu unipe jibu.
Wewe kama uelewi soma tena.
 
Waberoya,

Juliana hana uwezo wa kumshauri mtu awaye yeyote hivyo ushauri wako ni void. Na kuhusu muda, Juliana ana muda wote katika ulimwengu huu kwa sababu tokea amalize kabachelor kake ka elimu, kutokana na ufaulu wake hafifu hajafanikiwa kupata ajira mpaka leo. Usihofu kuhusu muda kabisa, ndio maana anakesha jamii forums. Hana maisha, hana hela na Nchemba keshamzeesha kamuacha.

My dear Mbowe yuko chadema simply kwa sababu fedha za bilicanas hazitoshi!! Slaa yuko pale na analamba 7m per month he is not even ''material skilled staff'' niambie x-padre anaweza kufanya kazi gani?

Huwezi kabisa ukamfananisha Juliana na hao wawili...never, ney

ushauri alioutoa Juliana, ni mzuri, na food for thought kwa matured mind, but not chadema

ninachomueleza asipoteze muda kueleza chadema ni sikio la kufa, tulishauri sana humu tukaonekana maadui, kumbe tulikipenda no, lakini slaa na mbowe wamekipenda zaidi na mapenzi yao yatimizwe

nimesema hapo CCM na CDM wengi kule hawana ajira....ila be careful kuna wasio na ajira ila wanaajirika, na wasio na ajira na hawaajiriki!!! Juliana yuko kundi la kwanza ( kama kweli) (anaajirika na Slaa yuko la Pili haajiriki
 
hili si la ccm tu, wote ccm na chadema ni mabingwa wa kutengeneza chuki. kumbuka chadema wametumia nguvu nyingi kumchafua Zitto, Kitila, Mwigamba, CHacha Wangwe na wengine wote wanotofautiana mtizamo. tuachane na siasa za chuki, fitina, uchonganishi na kuwapa majina mabya watu tunaotofautiana mtizamo mfano ccm B, mhaini, msaliti na mengineyo
 
For the first time I have to agree with you Juliana,Kweli unaonyesha bado una mapenzi na CHADEMA.Nikiwa kama Organizational analyst maelezo yako yamegusa kwenye kiini hasa yaani CHADEMA kuwategemea mno sheep followers and abandoning independent & critical followers.Kwa mwenye kukitakia mema Chama atakuunga mkono

Hopeless argument
 
Tatizo la watanzania watu hawajadili hoja wanajadili MTU.nimefuatilia michango ya watu kwenye hii thread lakini watu wanamjadili Juliana herself badala ya mada aliyoileta
 
Kama haumjui mtu usilazimishe kumjua. Waulize wanaonifahamu wakueleze mimi ni nani.

Waulize juu ya Elimu yangu...

waulize wakueleze juu ya ajira na kipato changu...mimi sio kama wewe ambaye analipwa kwa kukesha JF.,naingia jf kwa hobby binafsi na kwamba sitegemei malipo ama posho kwa kuandika chochote hapa, wapo akina Saa Mbili asubuhi na yule anayejifanya ni mjukuu wa Mwalimu wao wapo hapa kwa ujira maalum kutoka mtaa wa Ufipa.

Wewe ambaye sifa zako ni sawa na wale samaki wanaozaliana kwa wingi (changu), huwezi jifananisha na mimi kwa jinsi yeyote ile. Ni bahati mbaya sana mimi nakujua lakini wewe hunijui.
 
Juliana anaajirika na aliajiriwa na Mwigulu.

Jamani kumlinganisha Dr. Slaa na Juliana Shonza hii sasa inafadhaisha hasa kwa akifanya hivyo Waberoya member muhimu JF! Juliana ni kiganga njaa tu kilichorubuniwa na CCM wakakitumia vibaya sasa hawakihitaji.

Juliana nenda ukapate ajira shule za kata, si ni mwalimu? mbona unaleta mambo ya kitoto hapa. Kijidigirii cha elimu si elimu yeyote ya kujilinganisha na Dr. Slaa, tena huna hata uzoefu wa kazi. Mdogo wangu nnenda shule kafundishe, utafanya la maana badala ya kujidhalilisha hapa.
My dear Mbowe yuko chadema simply kwa sababu fedha za bilicanas hazitoshi!! Slaa yuko pale na analamba 7m per month he is not even ''material skilled staff'' niambie x-padre anaweza kufanya kazi gani?

Huwezi kabisa ukamfananisha Juliana na hao wawili...never, ney

ushauri alioutoa Juliana, ni mzuri, na food for thought kwa matured mind, but not chadema

ninachomueleza asipoteze muda kueleza chadema ni sikio la kufa, tulishauri sana humu tukaonekana maadui, kumbe tulikipenda no, lakini slaa na mbowe wamekipenda zaidi na mapenzi yao yatimizwe

nimesema hapo CCM na CDM wengi kule hawana ajira....ila be careful kuna wasio na ajira ila wanaajirika, na wasio na ajira na hawaajiriki!!! Juliana yuko kundi la kwanza ( kama kweli) (anaajirika na Slaa yuko la Pili haajiriki
 
Wewe ambaye sifa zako ni sawa na wale samaki wanaozaliana kwa wingi (changu), huwezi jifananisha na mimi kwa jinsi yeyote ile. Ni bahati mbaya sana mimi nakujua lakini wewe hunijui.
Nyie wajinga acheni tabia za ajabu ajabu. Matusi ya nini sasa kama mmeshindwa hoja si mnyamaze. Kwenye hii post July kamtukana nani..?

Mmeelezwa udhaifu wenu na viongozi wenu wasiojitambua mnakuja na mapovu na mimatusi hapa.
 
Tatizo la watanzania watu hawajadili hoja wanajadili MTU.nimefuatilia michango ya watu kwenye hii thread lakini watu wanamjadili Juliana herself badala ya mada aliyoileta

Sio tatizo la watanzania ni tatizo la bavicha. Nilikuwa nataka kusahihisha hapo mkuu.
 
Nipo mahali salama kisiasa kuliko CHADEMA, sina haja ya kutangatanga. Nimefika sehemu ambayo mchango wangu unathaminiwa na kuheshimiwa.

Nimepokelewa kwa mikono miwili, nimefunzwa siasa na kuandaliwa njia ya mafanikio.

Naendelezwa kielimu, kwani katika siasa za Sasa watu wana-invest katika knowledge. Nyie mnatumika bure huko UFIPA huku sie tunaokwa kuwa viongozi bora wa baadae. Ni mjinga tu ambae hatjitambui ndie atatoka CCM na kujiunga na Chadema.

Hapo kwenye blue,...
Unaendelezwaje ?? Maana wadogo zako huko kijijini wana hali hii hapa..!!

shule2.jpg

3.jpg
 
jike dume

Naihurumia sana chadema kwa kuwa na watu wa aina yako. Najiuliza ikiwa wewe ndie mtu ambae chama kimekuona unafaa kupewa kazi ya kukisemea chama katika mitandao ya kijamii, chama hiko kitakuwa kimepoteza mwelekeo kiasi gani.

Nyie ni watu ambao mnaharibu Chama, mnafanya chama kikose support kutoka kwa watu wa maana, ambao wakiona maandishi yenu hapa wana-conclude kuwa Chadema ni sehemu yenye watu wa hovyo ambao kazi kubwa wanaoiweza ni matusi.

mke na mume wakiachana yule ambaye kila cku anamuongelea ongelea mwenzake ujue ndio kimemuuma au hakupata alichotarajia baada ya ule mtengano sasa anajuta wewe ni mfano sahihi!!!! ongelea yako ya ccm.

pilipili iko shamba inakuwashia nn???

dhambi ya kuuza utu wako itakutafuna sana na huko ccm hutapata chochote ushatumika sasa huna faida!!!
 
Back
Top Bottom