Hivi ni nani au mwandishi gani alieandika hadithi za Sungura na Fisi?

Kudo

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
1,809
6,081
Nimekuwa nikijaribu kutafuta mwandishi wa hadithi fupi fupi za sungura na fisi na sijafanikiwa

Je kuna mwenye kumfahamu mtu huyo?
 
Kwa akili yangu mimi naona hizi hadithi zilisimuliwa toka kizazi hadi kizazi si unawajua tena wazee wa zamani walikuwa na hadithi na maarifa mengi.
Hivyo basi watu wakaona sio mbaya zile story walizosimuliwa na babu na bibi zao waziweke kwenye vitabu
 
Umekisoma kitabu halafu umekuja kutuchosha tukutafutie AUTHOR watanzania banah

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief hebu niambie ni wapi ulisoma mwandishi wa hizo hadithi!!

Yani unajikuta unataka kuwa nje ya box wakati huwezi!!

Afu inaonekana labda hukusoma shule za kitanzania ndio mana umejitoa katika utanzania kwa kutudharau!

Aliesoma vile vitabu katika shule za awali na msingi kamwe hawezi kuwa na upeo wa kudharau swali langu

Hongera kwako unaemjua na hukusema
 
Tatizo unapanic haraka sana, jifunze kuthibiti hasira,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom