Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,810
Kwa wale wafuatiliaji kuhusu mijadala ya nchi na siasa zinavyokwenda unakuta wapinzani wanaosikika katika mijadala ya kudeal na kuibana serikali ni CHADEMA na kidogo ACT bungeni kupitia kwa zitto kabweee.
CHADEMA unakuta wapo akina Lissu,Mdee,Bulaya,Mnyika,Mbowe etc haipiti week au mwezi ni lazima watasikika na kuandikwa magazetini.
Lakini upande wa CUF sijui wamepatwa na nini yaani tangia issue ya sukari hadi makanikia sijasikia hoja yoyote ya mbunge wa CUF BUNGENI AKIONGEA angalau wananchi wakamtambua tuna wabunge lakini sasa wenyewe hadi sasa wapoo kimyaaa kama wamepigwa pinni mpka najiuliza ivi ni nani aliyewapiga pinni hawa wabungeeee wa CUF