Hivi ni nani aliyetoa Idea kuwa kikwete anaweza kuwa rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni nani aliyetoa Idea kuwa kikwete anaweza kuwa rais?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchaka Mchaka, Apr 26, 2012.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  au ni nn kilimsukuma kikwete awe rais ilhali anajijua kuwa ni mzungu wa reli. Hajui a wala be ya uchumi. maisha yanazidi kuwa magumu. Hajitokezi kutenda wananchi wanayotaka. Kabakia kutabasamu tu
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unataka kumlaumu aliyempitisha au wananchi waliopiga kura kumchagua?
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  CCMCCMCCMCCMCCMCCMCCm......
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wazanzibari walichangia sana kuchaguliwa kwa Kikwete.
  Kwa upande wa ZNZ, sera ya wakongwe wa ASP zilikuwa "bora kumbi" kuliko Salim Ahmed (Mwarabu, Mpemba, Hizbu).
  lakini kwa upande wa hapa Bara, bado sielewi kwa nini.
   
 5. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,671
  Trophy Points: 280
  Mi_naona_kama_alijipitisha_tu_kuingia_madarakani. Anakera_sana_huyu_Jamaa
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mwananchi gani alimpigia kura labda ww peke yako

  B
   
 7. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,805
  Likes Received: 4,167
  Trophy Points: 280
  Nashangaa kwa nini wananchi hawaelewi hali ilivo sasa, tungemsusia wote vitu km sherehe za muungano ambavyo havina tija kwa taifa, kwa nini wananchi wanaenda kwenye sherehe hizo? au ndo chake mtu hakimtapishi? lkn kukumbatia maji km jiwe ni UJINGA (nimenukuu mstari kidogo)
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Sababu kuu ni moja tu
  1.Wakati J.K Nyerere anasimikwa kuwa kiongozi wa Tanganyika, kuna tambiko alilofanyiwa na wazee(mafundi au vigagula au wazee wa mji), ambapo alifukiwa kaburini akiwa mzima na kufanyiwa mambo mengine ya kishirikina. Hili Nyerere alishalisimulia lakini hakulieleza kwa uwazi.
  Sasa basi, mmoja wa wazee hao wa Pwani baba wa Jakaya, yaani mzee Mrisho Kikwete alihusika kwa kiasi kikubwa kumfanyia tambiko Nyerere na moja ya sharti alilotoa ni kuwa mwanae atapokuja kuwa mkubwa apewe nchi. Hili ni agano la kishirikina lililofanyika baina ya Nyerere na Mzee Kikwete, hivyo ilikua ni lazima lije kutimizwa.
  Jaribu kuangalia historia ya Jakaya ndani ya TANU na hatimaye CCM, vyeo alivyopitia pia linganisha na umri wake.
  Hivyo kama unatafuta mtu wa kumlaumu basi funga safari hadi Butiama kwenye kaburi la Nyerere ukatoe laumu zako huko.
   
 9. I

  Isoliwaya Senior Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimsingi Kikwete, hakuwa na priority au niseme vipaumbele vya yeye kuwa RAIS. kwasababu urais ni taasisis nyeti inayohitaji mtu mature mwenye vision ya maendeleo na vipaumbele vinavyotekelezeka na sio tu kusema maisha bora kwa kile mtanzania au kasi mpya na nguvu mpya. Huyu jamaa in rais bogus/bomu aisiejua maana ya urais na utumishi kwa umma. Muulize leo kama angepewa nafasi ya kutafakari kugombea tena atakataa kabisa kwasababu he is just too weak for the presidence
   
 10. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Waandishi wa Habari waliohama gazeti la Uhuru la CCM na kwenda Mwananchi na kumlipua Rais Mtarajiwa Dr. Salim Ahamed Salimu na waliokuwa kwenye mtandao wake kuwa ni muuaji na muhaini wa Raisi wa Zamani wa Zanzibar Abed Aamn Karume. Waandishi hao sasa wanafanya kazi Ikulu.
  1.Said Nkuba alikuwa ndiye kiranja kutokea mhariri mkuu uHURU kwenda Mwananchi kwa cheo hicho sasa ni Mwandishi wa Waziri Mkuu -Pinda anakubali kufanya kazi na jairi kama Nkuba, naye juzi anatoa utepe Mwanabidii "Kasumba ya Kiingereza"
  2.Mamluki mwingine ni Salvatory Rweyemamu naye yupo Ikulu.
  3.Muhingo Rweyemamu yupo kwenye kampuni sasa ya kamanda wa ujairi Tanzania chini ya Manji wa quality qroup
   
 11. b

  buswe Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kiukweli baadhi ya vyombo vya habari vilitoa taarifa zisizosahihi kuhusu JK, wananchi wengi waliziamini habari hizo wakati siyo za kweli. Kwa hiyo tunaweza kusema jk ni Rais aliyechaguliwa na waandishi wa habari.
   
 12. M

  MamG Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mi naona jamaa alichakachua matokeo hasa second term tulishamchoka kushinda kwake si bure. Aliiba kura yeye kwa kusaidiwa na watendaji wake walooza. Taifa linateketea mikononi mwake.
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Nyerere alikuwa katikati ya mpango wa kumzuia Kikwete kuwa rais 1995. Alifanikiwa kubadilisha sheria za mchezo katikati ya mchezo ili kuzuia Kikwete asiwe rais.

  Hapa ndipo ilipoanza historia ya Kikwete kupendwa na wabongo, kwa sababu ilionekana kama "kadhulumiwa urais" na Nyerere. Akapewa mtihani mkubwa, akasubiri kwa adabu miaka 10. Ben Mkapa akaangalia akawaonea huruma Watanzania kwani alijua kuna uwezekano mkubwa waKikwete kuja kuwa rais baada yake. Akamwacha Mambo ya Nje miaka 10 apate uzoefu wa kuijua dunia. Lakini inaonekana hakujifunza kitu.

  Na hiyo habari ya kulala makaburini, Nyerere alilala nyumbani kwa Mzee Jumbe Tambaza pale nyuma ya msikiti wa Tambaza, wazee walifanya tambiko lao la kidini lakini mchonga ni mkatoliki aliyekuwa anasali kila siku asubuhi, aliacha wazee wanaoamini mila zao wafuate mila zao kama vile rais mkristo/muislam anavyoweza kukubali kufanyiwa tambiko la jadi, maana yeye alikuwa kiongozi wa wote na isitoshe hao kina Jumbe Tambaza na wenzao kina Sykes ndio waliomkaribisha mjini.

  Hayo ya baba yake Kikwete mie hata siyajui. Kikwete alivumbuliwa na Warioba kama kada wa chama ngazi ya mkoa huko Lindi kipindi cha mafuriko wakati Warioba alivyokuwa Waziri Mkuu. Ndio Kikwete kama kawaida yake aka lobby kurudishwa mjini, pole pole akajipendekeza mpaka kupata ubunge wa kiti maalum (viti maalum vitatuumiza hivi!) akaingia bungeni, polepole akapanda ngazi.

  Hii habari ya agano kati ya baba yake Kikwete na Nyerere haina mshiko kwa sababu kama nchi hii Nyerere alikuwa na agano na mtu basi kuna watu wengine kibao al-maarufu waliomlipia mpaka tiketi "baba kabwela" kwenda UNO, kina Sykes na Rupia, ndio watoto wao wangechukua nchi.

  Kama si Nyerere kucheza shere Kikwete angeweza kuwa rais 1995. Mzee wa watu akasema "over my dead body". Na kweli, Kikwete hakupata urais mpaka 2005, baada ya kufariki Nyerere.

  Mie mwenyewe nilivyosikia Kikwete anataka kuwa rais 1995 nikaona hana lolote, amejaa ambition tu na hatafika popote kwa sababu ingawa nilijua nchi yetu mbovu (mainly CCM) lakini nilikuwa na kitumaini kidogo kwamba Kikwete hana merit yoyote hata kwa wale wasioheshimu merit kwa sana ndani ya CCM. Nikamuweka hata Mark Bomani juu nikiona angeweza zaidi. Boy was I wrong!

  Tatizo letu hatuchagui viongozi kwa uwezo, bali anayejua kujipendekeza sana ndiye anayepanda ngazi. Tungeangalia uwezo Kikwete asingepata hata ubunge kwani uwezo wake mdogo sana.
   
 14. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 658
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 80
  mi nikisikiaga ile story ya dr.wa kibongo kupachka kichwa cha naz kkawa rais huwa natafuta leso tu.
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  wangechangia watu wengi kidogo ndio ungetuma hii post yako!!

  inaonekana umeisha weka conclusion....na thread closed!!

  kikwete ni janga la taifa
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280

  Once in a conference, three scientist. A Chinese, a German and a Tanzanian, were talking and bragging about the technological advances their representative countries have achieved in the field of medicine.

  Says the Chinese,
  "In Guizhou (Kweichow), there was a baby boy born without forearms, so we attached artificial forearms on him. And now that he is grown, he has become an Olympic professional Martial Art and a gold medallist at that."

  The German replied, "That's nothing to what we have done back in Berlin, there was a baby girl born without legs on her, she is 3 times marathon gold medallist in the Olympics!"

  The Tanzanian interjected laughingly, "Is that all you have, just gold medallist? In Dar es salaam, we have a baby born without a head! We attached a coconut to the neck and he is now the president."
   
 17. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  ni Mama Mwanaasha. Na baadae alituambia kuwa Ba Mwanaasha ni Lulu na tusiichezee. Umesahau mara hii ndugu yangu?
   
 18. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,069
  Likes Received: 7,281
  Trophy Points: 280
  Ana sura nzuri!!
   
 19. n

  nketi JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rais jina tu!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,057
  Likes Received: 6,505
  Trophy Points: 280
  Jf ni zaidi ya chuo kikuu.
   
Loading...