Hivi ni Mungu au ni imani zetu tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni Mungu au ni imani zetu tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Mar 13, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kawaida kusikia aaa ni mapenzi ya mungu au aaa mungu amemwita'
  pale inapotokea mtu au watu kufariki dunia. Swali langu ni -Hivi ata kibaka sugu,
  jambazi sugu,tapeli sugu nk. ikatokea kashikwa na kupigwa hadi kufa na wananchi
  wenye hasira kali, na yeye kifo chake huwa ni mapenzi ya mungu? Au ikatokea mtu
  anaendekeza zinaa kwa bahati mbaya anapata ukimwi na kufariki dunia,na yeye kifo
  chake huwa ni mapenzi ya mungu? Au hawa watu wanaouana kwa kuchomana visu
  kila siku,nao vifo vyao ni mapenzi ya mungu?

  Jamani ni mapenzi ya mungu au ni imani zetu tu?
   
Loading...