Wasukuma, wanapenda zenye miziki na zinazo wakawaka, yaan zenye warangi rangi
Wanabodi.
Wadau wa Chit-Chat nipo kwenye utafiti fulani naombeni mnisaidie kufahamu ni mkoa gani Tanzania wakazi wake wanaongoza kwa kutumia simu za kichina.
ha haa haaa Mkuu wangu Kimbunga tatizo la simu za kichina kuzima kelele kuwasha kelele..
Mkuu ritz kama unafanya market research basi wewe jua soko lipo Shy na Simiyu! Wewe toa order tu kwa hao Wachina lakini hakikisha simu ina muziki, TV, na Radio pia ina marangirangi yanoyomeremeta. Hapo hakika utapata soko huko. Wanapenda makelele hao ndio maana wanaenda kuchunga ng'ombe huku wana radio cassette wanakula muziki.
Mkuu wangu Kimbunga nimekupata vizuri hujue saizi Mchina katoa simu mpya line sita ina TV na Radio.
Du! Sipati picha ukubwa wake!