Hivi ni mkoa gani hata kwa dawa huwezi kwenda kuishi uko[emoji24][emoji24]??

Mikoa yote hapa Tanzania, binadamu anaweza kuishi, ndiyo maana wapo watu wanaishi kule vizazi hadi vizazi.
Ni utoto tu unakusumbua wewe mleta Uzi.
So little in mind uijui jamii na mazingira bado
giphy.gif
 
Mikoa yenye baridi kali.. Niliishi Mbeya miaka hiyo. Niliteseka sana.. Ngozi yangu haipatani na baridi kali.. Cjui ingekuwaje kama ningezaliwa Ulaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom