Hivi ni Mizengwa, Mizengo au Mizengwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni Mizengwa, Mizengo au Mizengwe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gagurito, Jun 1, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wadau kwa jinsi serikali yetu inavyoendeshwa nasindwa kuielewa. Je mkuu wa viranja anafanya kazi gani? Au ndio Mizengo na Mizengwe yenyewe? BoT wametumia 500ml kupiga picha, kauli ya serikali kuu juu ya hili ipo wap? Au ndio Mizengwe yenyewe hiyo? Aaah wananichanganya sana!
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  usiikosoe serikali utaambiwa unaichukia kwa sababu wewe si muislam so piga kimya.
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Halafu haya ya Udini nayo yananichanganya, nitayasemea siku nyingine. Leo nisaidieni/tujadili hili la 500mls, je hiyo ndio mizengwe yenyewe!
   
 4. r

  rmb JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukiingiza habari za udini utapoteza maudhui ya muanzisha hii mada, hebu tuliangalie hili kama kweli linaendana na hali halisi au kuna watu wameamua kujinuifaisha.
   
 5. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mizengwe
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hii mizengwe itakwisha lin aisee? Wananchi masikini tunakufa!
   
 7. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hivi hizi picha za Ml 500 ni picha za BINADAMU hawa hawa viongozi au PICCASSO (maana za huyu Piccasso huwa naona bei zake zinakwenda kwenye mamilioni ya Dola)...Maana sijui kama ni hawa VIBOSILE wetu wamepigwa picha hizo na MALAIKA nani aliyetoza hela kubwa hivyo kwa PICHA!!!!!!
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hii serikali imejaa ufisadi, ml.500 kwa picha duh!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mil.500 kwa picha tu?? Huu ufisadi utaisha lini?
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  nashangaa sana, cjui wamezipigia usa?
   
Loading...