Hivi ni mimi pekee nimekuwa addicted na Hii video au kuna na wenzangu na mimi!!!!

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu. Mimi bila kulala sijaangalia hii music video ya kanyewest siwezi kupata usingizi. Naona kama vile nimekuwa addicted na kumuangalia huyu video model wa hii nyimbo ya Fades ya kanye west. Hivi ni mimi pekeangu au kuna na wengine kama mimi?
c218d605da96514e8c513708b369d448.jpg

46b934bbe6a69bd514bf5ec0a61a5d70.jpg

 
Usiku huu unataka kufanya nini!Kama hujawahi jaribu acha kabisa.......
 
Back
Top Bottom