Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,652
Msema ukweli ni mpenzi wa mungu. Mimi bila kulala sijaangalia hii music video ya kanyewest siwezi kupata usingizi. Naona kama vile nimekuwa addicted na kumuangalia huyu video model wa hii nyimbo ya Fades ya kanye west. Hivi ni mimi pekeangu au kuna na wengine kama mimi?