Hivi ni mimi mwenyewe au na nyie wanaume wenzangu inawatokea?

Hahaha hahaha hahaha
Utaweza vumilia kuvaliwa nguo zako jamani!
Na mie nakuombea umpate mke bora zaidi jamanii!
wala sina shida na hili kabisa kwa sababu napenda avaage tu.
naomba Mungu aisikie sala yako maana siku hizi mtihani wa kupata mke bora unataka kushindana & kutafuta pepo!
 
Mungu ni mwaminifu mnoo jamani! Atakupa wala usijali kabisaaa!
 
Ahahaahh hilo dogo kuna msela wangu yeye akiwa ana safiri mke wake anatoa boxer zake ana mwekea boxa za kike na jamaa anatinga na anaambiwa asifue mpk arudi atafua mwenyew na jamaa kafa kaoza wao kuvaliana sio issue

Mimi matishet ya tughe na cwt ndio wakipewa tu mimi ndio mtest mitambo yeye surual track au bukta kukuta inakiuno cha pepe kale ni kawaida

Hii ya kuwekeana boxa za kike huo ni wivu mkuu.
 
ukitaka kumkomesha huyo we anza kuvaa kuanzia bikini sidiria na skin tait zake zoote hapo mtaenda sawa
 
Wakuu kwema?
Mke wangu nampenda sana lakini ananikera sana kitu kimoja, kuvaa nguo zangu mimi napenda sana kuvaa T shirts sasa kila mara huyu shemeji yenu nakuta kavaa t.shirts zangu.

Nilihisi labda anapenda tshirts hivyo tulienda shopping na alichagua anazozpenda yeye nikamnunulia Lakini pia kama haikutosha na zile alizokuwa ameshazivaa niliacha kuzivaa kwa sababu anazivaa na mimi nikija kuzivaa kifuani aiseeh sijui zinakaaje, na mtaani pia huwa anapita nazo.Kuepusha tabu nikazimwachia.

Lakini hiyo tabia haijafa yaani ikafika mahali nikamwambia lakini wapi? Wakati mwingine anavaa analala nazo kabisa yaani.
Sasa juzi nilikuja na tshirt ambayo ni sare ya office kwenye event, daah kurudi nyumbani jana yaani nakuta ameshaivaa kabla hata ya event yenyewe.

Nikimuuliza anadai anapenda tuu leo nimeamua kununua mashati ya kutosha na kuamua kuagana na tishirt rasmi.Naona jioni hii ameamia kwenye masweta yangu.

Siyo kwamba sipendi avae nguo zangu shida ni moja anazitanua kifuani na wakati mwingine anashindia au kulala nazo kabisa, hapo bado boxer.

Wakuu wa busara mliopo kwenye ndoa hii mmeshakutana nayo huwa mnalidhibiti vipi?

Wewe mtu tulia ebu.

Boxer za ng u zimeshakuwa zetu, t-shirts, track suits zote zilizokuwa zangu nowadays ni zetu.

Mambo ni mengi ila twanyamaza tu maana muda ni mchache
 
Mzee baba ni hatari.
 
Mwaka sasa unaenda kupita ..vp usha
Fungua duka la t shirt na mashart ..
Mkuu nimeamua kukubaliana na matokeo maana habadiliki. Hata umnunulie mashati na t-shirts mia bado atavaa zangu.
 
Wakuu kwema?
Mke wangu nampenda sana lakini ananikera sana kitu kimoja, kuvaa nguo zangu mimi napenda sana kuvaa T shirts sasa kila mara huyu shemeji yenu nakuta kavaa t.shirts zangu.

Nilihisi labda anapenda tshirts hivyo tulienda shopping na alichagua anazozpenda yeye nikamnunulia Lakini pia kama haikutosha na zile alizokuwa ameshazivaa niliacha kuzivaa kwa sababu anazivaa na mimi nikija kuzivaa kifuani aiseeh sijui zinakaaje, na mtaani pia huwa anapita nazo.Kuepusha tabu nikazimwachia.

Lakini hiyo tabia haijafa yaani ikafika mahali nikamwambia lakini wapi? Wakati mwingine anavaa analala nazo kabisa yaani.
Sasa juzi nilikuja na tshirt ambayo ni sare ya office kwenye event, daah kurudi nyumbani jana yaani nakuta ameshaivaa kabla hata ya event yenyewe.

Nikimuuliza anadai anapenda tuu leo nimeamua kununua mashati ya kutosha na kuamua kuagana na tishirt rasmi.Naona jioni hii ameamia kwenye masweta yangu.

Siyo kwamba sipendi avae nguo zangu shida ni moja anazitanua kifuani na wakati mwingine anashindia au kulala nazo kabisa, hapo bado boxer.

Wakuu wa busara mliopo kwenye ndoa hii mmeshakutana nayo huwa mnalidhibiti vipi?
Hahahahahahahahahahah mkuuu nimechekaa sanaaa mahabaaaaaa hayo mkuuuu
 
Back
Top Bottom