Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
CHADEMA kwenye kura za Urais safari hii hampati hata kura laki nne. Chama chenu kimeshakuwa kama walking dead man. Mnachofanyaya ni kama kujichetua akili ili muwaonyeshe wananchi kuwa na nyie bado mpo kwenye ulingo.
Bora mngeachana na sarakasi za kitoto za kuendesha zoezi la kutafuta mgombea wa urais wakati mnatambua hata kula laki nne ni mbinde Mbona wenzenu TLP wamekubali matokeo kuwa Rais Magufuli amefanya yale waliokuwa wanayataka na sasa wametuliza boli.
Ninyi wenyewe mlikuwa mnasema mnataka rais kama huyu ambae atapambana na ufisadi na kusimamia mali ya umma. Hayo ameyafanya na wananchi wanamkubali kwa asilimia mia.
Sasa hao wagombea wenu mnaohangaika kuwachuja mnawapeleka wapi? Maana hata ubunge tu hawawezi kupata.
Kwanini msitumie busara na kukaa pembeni kisha kumuunga mkonoa JPM!