Hivi ni mambo gani haya kutangaza kuhusu mkopo wakati majina hayajawekwa mtandaoni....

:flypig::A S cry:Hawa majamaa walikuwa wanapoza watu tu soma statistics zao ITV wanasema wamekosa buku 20 na Mwananchi wanadai Buku 4.....TUMWAmini nani???
 
vijana wana hamu kujua panga limekata wapi haya bwana power to u ila angalieni sana hizo pesa balaaaa
 
Back
Top Bottom