Hivi ni makusudi au helsb hawajatoa hela au ni nini??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni makusudi au helsb hawajatoa hela au ni nini???

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Wa Bagamoyo, Jul 27, 2012.

 1. Wa Bagamoyo

  Wa Bagamoyo Senior Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani hili ni tatizo wale wa SAUT MWANZA waliopo field hawajapewa hela zao mpaka leo na next week field inaisha, sasa wanadhani watu wanaishije huko mikoani. Tanzania haitaendelea kamwe kwa mtindo huu I swear.
   
 2. peri

  peri JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  poleni sana, fuatilieni msikate tamaa.
  Ndo mambo ya boom hayo, limetutesa wengi hata hela ya projject hatukupewa but tulimaliza
   
 3. Wa Bagamoyo

  Wa Bagamoyo Senior Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanazingua lakini
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kiswahili ni lugha yetu lakin haielewek na na hawa wakuu wa nchi yetu!! lugha rahisi kwao kuelewa ni ya MGOMO tu!! ukitumia kiswahili utachoka sana na no body cares!!!! HAPA NI MGOMO TU..GOMENI MASELA!!!
   
Loading...