Hivi ni makosa kumuita mwizi wa kura kwa jina stahili ---- mwizi?

Hapa nakuangalia wewe Mheshimwa mwenyekiti wa ccm (sio raisi wa Tanzania) Jakaya Kikwete
 
huyu ni mwizi kama wezi wa simu pale kwa Ali Maua..ni mwizi tu hana tofauti huyo na wezi wengine
 
Wakati mabilioni yakiporwa kwa kisingizio cha umeme, Vasco Da Gama ameanza safari za kutembelea makaburi ..... baada ya miaka mitano, Tanzania itakuwa kama Zimbabwe - noti za milioni 10.
 
Uwizi unahitaji kithibiti?

Kama ni kilio cha slaa, alikuwa anajitahidi kuwa mwanasiasa hadi sasa kashindwa kuthibitisha analia kama wewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom