Jamaa unachanganya sana mafile, ngoja nikupe historia kwa mtiririko, barrick ni kampuni la Canada lenye migodi America na Africa. Kwa upande wa Africa lilianza na mgodi wa bulyanhulu kwa kununua kampuni ya kmcl na kuiita bgml, baadae ikaanza kuongeza migodi mingine kama turawaka mgodi wa copper kule Zambia, so barrick wakaona waanzishe kampuni ya kusimamia migodi ya Africa ndo ikaundwa African barrick/abg, abg ikiwa under operations ikanunua migodi mingine ya north Mara na buzwagi kutoka ktk kampuni la pangea minerals, haohao abg wakajibrand Jina kutoka abg na kuwa acacia, na acacia wakiwa ktk operation waliweza kufunga migodi ya turawaka na ule wa copper huko Zambia na kubaki na migodi mitatu ya bulyanhulu, buzwagi na north Mara, kijitanzu walichounda barrick cha Abg/acacia ni kama wamekifuta na sasa wamerudi barrick wenyewe kusimamia na kuunda kijitanzu kichasimamia migodi ya tz wakishirikiana na serikali, kijitanzu hicho ndo kinaitwa twiga minerals, so bgml ilikuwepo na bado ipo.We ndo unachanganya Barrick ndo msimamizi wa migodi yote tangu zamani yaani mgodi wa Bulyanhuru,North Mara nk, BUlyanhulu Gold Mine aweje msimamizi.
walichokifanya wazungu ni kutenganisha tu share zilizokuwa kwenye migodi yao ya Africa na migodi mingine duniani ndo hao Barrick wakabadilisha jina kwa migodi iliyopo Africa kuwa Africa Barrick Gold mine.
ile ilikuwa ikiitwa BGML ikawa Africa Barrick Gold mine Bulyanhulu,na Buzwagi Gold Mine ikiitwa Africa Barrick Gold Mine Buzwagi nk.