troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,426
- 2,260
Azeeke mara ngapi,au unasema arudi ujanaMkuu unajizeesha bure wewe fanya yako...... pita kulia ikiwezekana
Azeeke mara ngapi,au unasema arudi ujanaMkuu unajizeesha bure wewe fanya yako...... pita kulia ikiwezekana
Kumekuwepo na tuhuma nyingi sana mitandaoni, na sehemu mbalimbali toka kwa baadhi ya watanzania wenzetu , yakwamba enzi ya utawala wa Magufuli wafanyabiashara wengi na makampuni yaliacha kufanya biashara halali na kuondoka nchini,kisa walionewa?
Naomba kupitia uzi huu tutaje baadhi ya wafanyabiashara na makampuni hayo ambayo biashara zao zilisajiliwa brela na yalifanya biashara kihalali nchini na yalikuwa yakilipa kodi stahiki kwa taifa letu.
Wimbo huu umeshamiri sana ,kukata mzizi wa fitina twendeni na facts.
Isije kuwa kampuni na wafanyabiashara wakwepa kodi ndio waliokimbia na sasa wanaamini mwendazake hayupo tena hivyo ni fursa tena kwao .?
Nenda BRELA utapata orodha ya makampuni yote yaliyofunga shughuli zake.Kumekuwepo na tuhuma nyingi sana mitandaoni, na sehemu mbalimbali toka kwa baadhi ya watanzania wenzetu , yakwamba enzi ya utawala wa Magufuli wafanyabiashara wengi na makampuni yaliacha kufanya biashara halali na kuondoka nchini,kisa walionewa?
Naomba kupitia uzi huu tutaje baadhi ya wafanyabiashara na makampuni hayo ambayo biashara zao zilisajiliwa brela na yalifanya biashara kihalali nchini na yalikuwa yakilipa kodi stahiki kwa taifa letu.
Wimbo huu umeshamiri sana ,kukata mzizi wa fitina twendeni na facts.
Isije kuwa kampuni na wafanyabiashara wakwepa kodi ndio waliokimbia na sasa wanaamini mwendazake hayupo tena hivyo ni fursa tena kwao .?
Bank M=EPA and Mkono Advocate...wote Dugu moya!Shopprite, Choppies, Nakumat, Quality Group, Rhino Cement, Schrumberger, Fast Jet, Kampuni ya Waturuki iliyokuwa na Maduka Makubwa Mbezi Beach Dar es Salaam, Kampuni zilizokuwa zinamunia na kunangua korosho Mtwara, Mkono Advocates, Mbinga Bank, Twiga Bank, Bank M, Bank ya Wanawake, Bilicanas club, Mashamba ya Mbowe ya Hai, SIMON Group na mengineo mengi saana
Ile kampuni ya Billboards AIWahuni hao ,Magufuli aliwapiga kitanzi cha hatari
Ngo ndiyo majizi nambari moja. Wanataka hesabu zao za FEDHA zisikaguliwe. Wanataka watumie hizo FEDHA kama za biashara zao.Na yale magazeti,ngo za kutetea haki,na zinginezo.
Tumefunga kampuni ya familia wakati wake.Kumekuwepo na tuhuma nyingi sana mitandaoni, na sehemu mbalimbali toka kwa baadhi ya watanzania wenzetu , yakwamba enzi ya utawala wa Magufuli wafanyabiashara wengi na makampuni yaliacha kufanya biashara halali na kuondoka nchini,kisa walionewa?
Naomba kupitia uzi huu tutaje baadhi ya wafanyabiashara na makampuni hayo ambayo biashara zao zilisajiliwa brela na yalifanya biashara kihalali nchini na yalikuwa yakilipa kodi stahiki kwa taifa letu.
Wimbo huu umeshamiri sana ,kukata mzizi wa fitina twendeni na facts.
Isije kuwa kampuni na wafanyabiashara wakwepa kodi ndio waliokimbia na sasa wanaamini mwendazake hayupo tena hivyo ni fursa tena kwao .?
KIBOOOOOOOOOOO HUYU ROSTAM WALLAH SIMPATIAGI PICHAWahuni?!!!ulidhania ku bakia pekee yako kwenye biashara ndio kufanya vizuri hahaha!!yako wapi sasa?jamaa alikuwa na roho ya uharibuf tu!!eti kwenye awamu yake ROSTAM , ndio akaibuka muwekezekaji mkubwa na swaiba wake!!MUNGU FUNDI
Kuna zeto kwa 10,20,30 nk? Zero ni zero tuUmeulizwa makampuni yaliyofunga shughuli zake wewe unaishia kujibu makambu "chupuchupu" Umepata ZERO kwa mia!
Kwa hiyo hata wale mawakili walio vuliwa uwakili wao na aWale watetea haki za mashoga?
Shida kubwa ni pale taarifa ni siri,ukweli unageuzwa uongo na uongo unageuzwa ukweli,kwa maslahi ya wachache.nakuwazipa midomo wenye kuona na kuyasema yasiyo sawa.Twiga bank yenyewe iliwekwa kwenye uangalizi toka mwaka 2016 baada ya kuonekana ina operate kimagumashi wakiwa hawana hata pesa za kutosha baadae ikaja ikaungana na Tanzania postal bank na wateja wao kulipwa na wengine kuhamishiwa Tanzania postal bank (TPB bank), ingeweza kufirisika na kudhulumu au bila kulipa wateja wake serikali ikawahi na kutoa ufumbuzi, mimi nilichojifunza 80% ya watanzani hawasemi ukweli either kwa kutojua au kutojua, 80% ya wana siasa wetu ni waongo na hawa semi ukweli kwa wana nchi, mwananchi anapata taarifa nyingi za uongo, ambazo ndio taarifa nyingi zimezagaa kila mahali.
Makampuni ya Manji, Mbowe, Mo..Chupuchupu baada ya kuvishwa kanga, Dangote naye almanusura afunge kiwanda n.k
[/QU
Ingekuwa vyema ukataja jina la kampuni iliyokumbia nchini kwa kuonewa na utawala wa JPM na siyo kutaja zilizonusurika. Tena ingekuwa vyema ukataja baada ya kukimbia hapa nchini walienda kuwekeza nchi gani.
Athi river cement au Rhino cementKumekuwepo na tuhuma nyingi sana mitandaoni, na sehemu mbalimbali toka kwa baadhi ya watanzania wenzetu , yakwamba enzi ya utawala wa Magufuli wafanyabiashara wengi na makampuni yaliacha kufanya biashara halali na kuondoka nchini,kisa walionewa?
Naomba kupitia uzi huu tutaje baadhi ya wafanyabiashara na makampuni hayo ambayo biashara zao zilisajiliwa brela na yalifanya biashara kihalali nchini na yalikuwa yakilipa kodi stahiki kwa taifa letu.
Wimbo huu umeshamiri sana ,kukata mzizi wa fitina twendeni na facts.
Isije kuwa kampuni na wafanyabiashara wakwepa kodi ndio waliokimbia na sasa wanaamini mwendazake hayupo tena hivyo ni fursa tena kwao .?
Mkuu hapa hutopata majibu ya maana, watu watajiumauma humu, subiri tusome coment.Kumekuwepo na tuhuma nyingi sana mitandaoni, na sehemu mbalimbali toka kwa baadhi ya watanzania wenzetu , yakwamba enzi ya utawala wa Magufuli wafanyabiashara wengi na makampuni yaliacha kufanya biashara halali na kuondoka nchini,kisa walionewa?
Naomba kupitia uzi huu tutaje baadhi ya wafanyabiashara na makampuni hayo ambayo biashara zao zilisajiliwa brela na yalifanya biashara kihalali nchini na yalikuwa yakilipa kodi stahiki kwa taifa letu.
Wimbo huu umeshamiri sana ,kukata mzizi wa fitina twendeni na facts.
Isije kuwa kampuni na wafanyabiashara wakwepa kodi ndio waliokimbia na sasa wanaamini mwendazake hayupo tena hivyo ni fursa tena kwao .?
Sasa kwani alikopa akanunulia chapati? Kila nchi duniani inakopa, hata America pia wanakopa na kuna kiwango pia cha kukopa sasa ukiona aliweza kukopa deni kubwa hivyo ndani ya muda mfupi ujue wakopeshaji walimuelewa anachokifanya la sivyo asingekopesheka.Hizo mega projects ungezijenga bila kukopa sawa!!sasa kama ndani ya miaka mitano umekopa trilioni 25kutoka kwa mabeberu!!nakukaa kupika takwimu tu bora mama juzi amesema ukweli kuwa uchumi uko kwenye asilimia 4, wakati mtaalam wa kulisha watu matango poli kila siku alikuwa anatwambia ni asilimia 7!!
hivi unajua shoprites ipo nchi ngapi africa? kote huko wanahujunu uchumi?,Zote ulizozitaja hakuna kampuni hata moja yenye usafi,zote pamoja na mabenki uliyoyataja zilikua chochoro za kuhujumu uchumi tu